Utamu wa kitumbua

Ila angefyekelea mbali kabisa,angetueleza hivi vitumbua vinapendwa na lika gani? Ku
watoto wanapenda sana asubuhi akiamka unamnunulia kitumbua kimoja anashinda anakichezea mpaka mchana,tena ukikuta hana meno ndio atakilamba lamba tu atakitia mate mpaka chote kinaloa hata mtu mzima anakua hawez kukila tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…