Utamu wa kukolezwa/kukolea nje....

Utamu wa kukolezwa/kukolea nje....

Danda

Member
Joined
Aug 26, 2009
Posts
16
Reaction score
1
Mara nyingi wanamahusiano hasa wanandoa hupata wakati mgumu pindi mmoja kati ya wawili hao anapoanza mahusiano ya mapenzi nje ya mpenziwe.....
Hivi kunani jamani....au ni kufuata tu mkumbo?!!!! Maana hata yule wa nje mwisho wa siku huwa naye pia wa 'nje'

Msaada wa kung'amua hili wapenzi waangu....

Aguido.
 
Ndugu Danda,

Mara nyingi hii husababishwa na uzembe kati ya wawili hasa katika swala la tendo la ndoa ambayo inasababisha mambo yenu kuwa boring.

Namna ya kuepuke na hili naamini ni kila mara kuboresha mambo yenu, yaani kuweka viungo kwenye mapenzi yenu, yale ambayo huyapati kwake mwambie mwenzi wako kuwa mimi napenda hili na lile(kuhusu tigo sina uhakika), naomba tuwe tunalifanya, achana na mambo ya style moja badili badili kila wakati, pia fanya research/google pia namna gani mpya za kuboresha mambo ya ndoa yako

Kitu kingine naomba utembelee "Hapa" Utapata ushauri wa aina yoyote kutoka kwa kungwi wa Kitanzania 🙄
 
Thanks Killo,
Prob ni pale mwenza wako anapokuwa si mwelewa na mwepesi wa hasira pindi uhitajipo kuridhishwa au kuridishana,
wakati mwingine huanza kukufikiri tofauti pale uanzapo kueleza hisia zako na jinsi uwezavyo kuridika....
Ila pole pole ndio mwendo.

Shukrani.
 
Hili kama walivyosema hapo ju naongeza kuwa msingi wa nje ni ndani, hakuna nje kama hamna ndani. Cha kuanza hapa ni ndani na ndio nje. Nje haiwezi kuwapo kama ndani hakujakuwapo kwanza.

Tuangalie uzembe ndani. Mfano Mme anataka na mkewe anamwambia nimechoka, na kesho mme atachoka kwa kuwa amekuwa-unsatisfied, hata una[ponyimwa chakula mchana, ikishapita saa nane huwa kama unashiba na huwa unakuwa superconscious kama ni mwanafunzi ndio material yanapanda kwelikweli. Hivyo huyu aliyeambiwa nimechoka apatapo mtu nje ambaye wakiwa bafuni, jikoni, garden, chumbani, ukumbini mambo ni ya moto na ile vocabulary ya nimechoka HAIPO akilini mwake huyo mwingine BASI mambo ndion kwishnei! Wa ndani kalikoroga mwenyewe sasa kulinywa inakuwa chungu!!!! Suuutu!
 
Nimekusomaaaaaaaaaaa......
Thank you comrade.....
 
Back
Top Bottom