Utamu wa Lugha ya adhimu ya Kiswahili

Utamu wa Lugha ya adhimu ya Kiswahili

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,422
Reaction score
7,350
..,,Sifa za Watu waloshibana daima hukumbukana!!!
..,,Na salam husalimiana!!!
..,,Afya njema hutakiana!!!
..,,Huruma huoneana!!!
..,,Kwenye shida husaidiana!!!
..,,Makosa husameheana!!!
..,,Katika dhiki huvumiliana!!!
..,,Kila jambo zuri hupeana!!!
..,,Maneno matamu yalojaa upendo huambiana!!!
 
Ni usiku ulio tulivu, wenye hali ya hewa safi na usingizi mwanana ukizunguka kuzisafirisha fikra zako katika ndoto! Najua umechoka na pilikapilika za maisha mchana wa leo, jua kali, makelele ya kila aina, na mwingiliano wa sauti! Ni wasaa mzuri sasa kupumzisha mwili na akili yako! Amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo, pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho usirudie! Zaidi kumbuka kumwambia MUNGU asante kwa ulinzi wa kutwa nzima ya leo.
 
Haya tumekusikia japo umenakili na kuhamisha coy n paste
 
Ni kweli kabisa inatupasa kuwasemehe waliotukosoa na sisi pia kuomba msamaha kwa tulio wakosea. Lakini kunahaja kumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutuamsha salama?? Kwani kifo ni adhabu??? Mimi nadhani pia tunapaswa tumshukuru Mungu kwa yote...kwa kifo na kwa uzima!!!
 
Back
Top Bottom