..,,Sifa za Watu waloshibana daima hukumbukana!!!
..,,Na salam husalimiana!!!
..,,Afya njema hutakiana!!!
..,,Huruma huoneana!!!
..,,Kwenye shida husaidiana!!!
..,,Makosa husameheana!!!
..,,Katika dhiki huvumiliana!!!
..,,Kila jambo zuri hupeana!!!
..,,Maneno matamu yalojaa upendo huambiana!!!