Hawa wazee sio wa kinyakyusa ni matapeli fulani waliokusanywa na Mwakipesile halafu wakapose kama machief eti kumtawaza mtoto wa kikwere kuwa chief wa wanyakyusa; uliona wapi hiyo? Chief wa wanyakyusa hutawazwa usiku wa manane akizungukwa na mafumu wake na hutawazwa na vikolombwezo vya siri ukiwamo usinga!! Sasa huyu mkwere wamempa mkuki eti ndio kawa chief!! Hao matapeli wamemuingiza mjini.