Ni pale unapovuta hewa safi yenye rutuba ambayo inapita kwenye mapafu yenye afya njema, huku moyo wako ukidundadunda kwa shangwe na mwili wako ukiwa tulivu bila kashkash!.. no stress, no harmful idea in you also no devil emotions!.
Utulivu fulani hivi Hadi unausikia uti wa mgongo ume relax, akili imeswafika na hujala kuvimbewa halafu ka Hali ka hewa kaubaridi kasiko kera!.. na ndipo hapo mtu unaamua kula burudani tamutamu kama hii...
Your browser is not able to play this audio.
Mziki mtamu unapita masikioni mpaka kwenye mifupa nakufika mpaka kwenye seli za damu...π
Ukiwa kwenye hii hali kusema kweli uhai ni mtamu!..
Enjoy unapoweza ku enjoy mengine yakikushinda yawache kama yalivyo, walimwengu wana mengi nyie. Pumua pumzi yako swafi bila hofu maisha mafupi haya jamani.