Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Daah, niliposikia utamu nikakimbilia kufungua!
ni kawaida baba kuwa na mdogo haswa kama mkubwa ni wa kike:
Naona mwezi umeonekana maana zile komenti za kimarhuni zimefunguliwaHuyo mtoto amevaa kikuku ina maana na yeye 'anapiga miguu yote kama Ronaldo'!!
huyu mtoto naye anaonekana atakuwa mrefu kama mama yake.
ni kawaida baba kuwa na mdogo haswa kama mkubwa ni wa kike:
kwanini?