utamu Wa ngoma uingie ucheze jamani

utamu Wa ngoma uingie ucheze jamani

lovelovelove

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
270
Reaction score
270
Habarini

Jamani nimechungulia kwa nje yapata miaka mitatu, na kwa sasa nimeonelea ni vyema nikajisukumia ndani ili nami nifaudu Vinono vya humu.wakati nipo kwa nje nimevutiwa na watu wengi tu humu na nafurahishwaga na michango Yao.na hawa ni wachache wao:sakayo hornet demiss mama Sabrina evelyn salt yna2 Katoto kazuri Hajar na wengine nimewasahau jaman ila nyote mmenivutia kwakweli.so naomba ushirikiano wenu❤❤❤❤
 
Wahenga hatuja wahi kudanganyika aiseeee.....
Wewe ni mwanaume, tena mzowefu na mwenyeji humu jf, na hata ID yako ya zamani nimesha ing'amua
 
Habarini

Jamani nimechungulia kwa nje yapata miaka mitatu, na kwa sasa nimeonelea ni vyema nikajisukumia ndani ili nami nifaudu Vinono vya humu.wakati nipo kwa nje nimevutiwa na watu wengi tu humu na nafurahishwaga na michango Yao.na hawa ni wachache wao:sakayo hornet demiss mama Sabrina evelyn salt yna2 Katoto kazuri Hajar na wengine nimewasahau jaman ila nyote mmenivutia kwakweli.so naomba ushirikiano wenu❤❤❤❤
KARIBIAAAAAAAAAAAAAAAA.........
 
Back
Top Bottom