Wakuu, kwema?
Baada ya muda kidogo wa kuwa guest member na kuona yanayoendelea katika majukwaa mbalimbali, its fair to say kuna mengi nimejifunza na pia kuna mengi ya kujifunza zaidi. Hivyo sasa nimeamua rasmi kuwa member wa JF.
Aluta continua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.