Ha ha ha, ila sometimes bifu linaboresha penzi nafikiri ni kwa ajili ya kuangalia how strong is your partner kwenye hivyo vinyamkera, Je? Anaweza kuvumulia hivyo vinyamkera halafu you move on despite the hardships kuna wengine wakikaa muda mrefu bila vinyamkera, wanavitafuta kwa nguvu ili mradi apate the opposite side of it ili ajue kumbe kweli mwenza wangu ananipenda na kunijalihabari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...
Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'
Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?
Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...

Unalazimishwa kula kibua kilichochachaHahahaa.....nitarudi......kwa ufafanuzi wa vinyamkera na vibifu.....halafu veree late usiku..yani wa manane
I think zile fundo kwenye mua zina utamu wake aisee... kale ka-baby come back katamu sanaHa ha ha, ila sometimes bifu linaboresha penzi nafikiri ni kwa ajili ya kuangalia how strong is your partner kwenye hivyo vinyamkera, Je? Anaweza kuvumulia hivyo vinyamkera halafu you move on despite the hardships kuna wengine wakikaa muda mrefu bila vinyamkera, wanavitafuta kwa nguvu ili mradi apate the opposite side of it ili ajue kumbe kweli mwenza wangu ananipenda na kunijali
Hahahahaaaaaa.......kinyamkera kinataka kuelea kwenye ndovu za kopo.Unalazimishwa kula kibua kilichochacha
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...
Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'
Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?
Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?
Ha ha ha Kinyamkera kinataka kubishana na valuuHahahahaaaaaa.......kinyamkera kinataka kuelea kwenye ndovu za kopo.
Kwa mfano wewe ndio kinyamkera wangu halafu unanilazimisha nile kiporo cha kibua au kibua kilichochacha ili kikaelee kwenye valuu au ndovu hapo si maugomvi aiseeHivi kinyamkera nini?
Isije kuwa ni jina la shetani lol
Hata hivyo viogovi vinaimarisha penzi, hasa pale mnapokoseana halafu mnasameheana.
Ile am sorry sweetie, I I I I didn't.....
Ha ha ha pia kwene kaugomvi ndo unamfahamu mtu vizuri,kwa undani, hekima yake, hasira zake, uongo na ukweli wake, kiburi chake, dharau zake, utu wake nk nk, lakini mkiwa mnacheka tu kila siku, siku likitokea la kutokea ndo utakapoona rangi saba zinatokea.
Ha ha ha Kinyamkera kinataka kubishana na valuu
Ha ha ha nimecheka mpaka basi lol!!MTM.............Vakesheni ya Tanga imekuharibu kaka yangu yaani umekuja na maneno yooote ya taarab!! Eti Magubegube na Kwerekwenini sijui ah
Haya bana ..........ila samahani mie sijaelewa kidogo (Kichwa yangu inaanza kuzeeka kabla ya Mwili aisee)....vijiugomvi hivi ni vile vya kati yako na madame au ni vile vya kutoka kwa vizabizabina na vinyamkera wa pembeni??
Nifunulie kwanza
Hivi hapa mimi na wewe ndio tunagombana? eti huu ndio utamu wa penzi aiseeBig na Fainest thread bado haijafika page ya kumi.
Mjukuu eti unaijua migubegube? Mimi sijawahi kukutana nayoMTM.............Vakesheni ya Tanga imekuharibu kaka yangu yaani umekuja na maneno yooote ya taarab!! Eti Magubegube na Kwerekwenini sijui ah
Haya bana ..........ila samahani mie sijaelewa kidogo (Kichwa yangu inaanza kuzeeka kabla ya Mwili aisee)....vijiugomvi hivi ni vile vya kati yako na madame au ni vile vya kutoka kwa vizabizabina na vinyamkera wa pembeni??
Nifunulie kwanza
Kumbe ukiwezeshwa unawezaAisee:coffee::coffee: