Mmmmh kiaje sasa, uzuri gani kwanza? Wa sura? Wa tabia? Wa umbo? Wa rangi? Wa akili? Au ??????.
Mjukuu eti unaijua migubegube? Mimi sijawahi kukutana nayo
Pole mwaya kuna viogomvi na ugomvi, sio ndo kila siku mnagombana mnakoseshana raha, na amani halafu useme ni vizuri hapana, lakini kuna ugomvi unatokea halafu mwisho unajikuta umejifunza mambo fulani fulani kutoka kwa mwenzako, ambayo ukiyafanyia kazi unajikuta umeimarisha penzi lako. Hebu angalia mwisho wa huo ugomvi wenu unabaki na nini moyoni?? Kinyongo? Kisasi? Majereha? Au furaha na akili iliochangamka?
habari zenyu migubegube yooote na vikwekwerekwe vyote vya jamii penzi...
Kama kawa ya leo siyo ya jana; A to Z maumivu, tena zaidi ya jana... umeme, maji, barabara, ajira, mfumuko wa bei... sasa leo hadi kwenye mapenzi ati'
Mie nachokoza tu, ni kwanini vinyamkera huanza pale ambapo mko katika kulifaidi zaidi penzi lenu tena hadi mmeshaanza kunawiri upya?
Au vile vibifu ndio vinavyoboresha penzi?
sio siri mwanzo kila hali hiyo ilipotokea niliweza kugundua vitu fulani fulani niliposolve mambo yakawa safi raha na amani ilizidi na upendo wake kwangu kuwa maradufu lakini huu niliosolve jana umenipa amani ila kuna vitu nimegundua nahisi ni vibaya na vinaweza kuwa vipo japo hakukubaliana navyo katika maongezi sasa kuna muda naanza roho yakisasi inanijia.
hahahaaaaaaaaa.... waswahili wanasema raha ya kware ni kwe..kwe..kwekwekwekweeeeee, ya bata ni hahahahaaaaaaaaa we acha tu:glasses-nerdy::confused2::confused2::confused2::doh::doh::doh::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::help::help::help::noidea::noidea::noidea:
Mzee Yusuf anauguza donda... Carmel alikua mshenga ati, Paul the Pweza ilikua venyu,Aisee we MTM, safari ya Tanga mbona uliniacha?
Mzee Yusuf kishapona?
mkuu hata mbege utamu wake machicha ati... saa hii niko kwenye utamu... nshasau fundo ati'Hii thread inanichokonoachokonoa vile. Maana mi bila vitatizo hayanogi yaani tangu niwe nae raha wiki mbili ugomvi wiki moja. Wonderful enough jana tu tumesolve lakin siku chache zijazo kitawaka. Sa mi sijui wana Jf mtanisaidiaje hapo cause i'm a victim.
mkuu hata mbege utamu wake machicha ati... saa hii niko kwenye utamu... nshasau fundo ati'
la hasha, utamu wa black label ni zile rocks ndani ya golden drink
Hii lugha sijaielewa kabisa jamani... ni kiswahili??