Utamu wa tunda la kati - Part 3: nani alivunja rekodi yako ya raha?

Loh, vijana hawa!
 
Mm nilikuwa najifutia taulo, kuja kushtuka lile taulo ukilisimamisha inasimama wima wima 90° ukilazimisha kulikunja linavunjika, ikabidi nilifanye kibao cha kukatia nyanya 🔥
Wewe ni kichaa ujue 🤣 🤣 🤣
 
Baada ya kusoma huu uzi naamini vjn wengi wa jf apo dsm wamekimbilia riverside, kitambaa cheupe kwenye huduma😁😁 ndo maana huoni reply nyingi
 
Kuna watu mnapenda uzinzi kuliko chakula..!! 😹😹

makaveli10 kiongozi nasubiri kusoma shuhuda yako, mana kwenye hii sekta usikute wewe ndo huyo Henry wa mshangazi..!! 😹
Sina ushuhuda kiongozi, bahati mbaya henry tofauti na mimi, hatumii kilevi CHOCHOTE wakati mie ujanani nilikuwa mtu wa KULIPULIZA. 😂🤣

Siko kwenye mood ya kuandika mkuu, kuna game kadhaa chavhe nazikumbuka, ila andika yangu ni mpaka niwe na mood,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…