JF ni zaidi ya sosho netiweki-Mwakalinga
Kweli hua naona kama watu wanaishusha heshima JF kuilinganisha na social network...JF SIO social network. . . ni FORUM.
Utamu kwa english unasemaje mtaalamu wangu?Ngoja aje Mwali.
.........
BTW, what is the difference? niliona nikubaliane na Lizzy tu kwanza... lol
Wewe umesha shindwa, longwa kuna!Hodini hapa ba mayo na ba baba
Toka nilivyopromote pambano lisiolo la mkanda nimekuwa fan wa hili jukwaa. Huu "utamu" umenuvitia.
Kwa kujibu japo si mjuvi na sijui kuelezea ngoja nijitahidi. utamu ni ladha. Sukari tamu, asali tamu na hata nanihii nayo ni tamu. tofauti ya utamu ni ladha. Inaweza kuwa chungu ikawa tamu Inaweza kuumiza bado ikawa tamu........ lol yaani ni ladha
Wewe umesha shindwa, longwa kuna!
Yaani ladha chungu ni tamu? ladha ni TASTE, na wala sio utamu!
Kwa hiyo mtoto akisema pipi ni tamu ni hisia yake tu? pipi sio tamu? umeshindwa, kashushu ukalaleOndoka wenye sayansi mwali
utamu ni ladha inayoendana na hisia fulani ndio maana kuna watu vitu vichungu kwao ni vitamu na wengine vitamu kwao ni vichungu lol. Any way sina kamusi wala dikshenari kam kawa haya yanatoka kichit chat teh teh teh
Tupo wote, mi niko hapa kuwachallenge watu katika definition zao... usife moyo lolMkuu Mtazamaji bado sijapata jibu la kuridhisha. Hebu chemsha bongo kidogo.
Facebook (Social network) watu wapo kusocialize ZAIDI.Kweli hua naona kama watu wanaishusha heshima JF kuilinganisha na social network...
BTW, what is the difference? niliona nikubaliane na Lizzy tu kwanza... lol
Asante sana Lizzy, now I know. kuhusu utamu je?Facebook (Social network) watu wapo kusocialize ZAIDI.
JF (Forum) watu wapo kimajadiliano ZAIDI.
Asante sana Lizzy, now I know. kuhusu utamu je?
Kwa hiyo mtoto akisema pipi ni tamu ni hisia yake tu? pipi sio tamu? umeshindwa, kashushu ukalale