Utamu.

Uko na pointi ya haja mkuu, unajua samtaimu ukisoma magazine tu kama uko serious unaweza ukaibua elimu ya haja kabisa lakini kwa waafrika wengi hiyo ni ishu bana na ndio maana nikakukweza mazee kwamba wewe uko na bidii kiaina yaani.

Kuna siku ulikuwa uunaongelea manyago flani ya Angani, mzee sikuelewa kitu nikaingia mitini lakini nikakuona umewabamba washkaji wanapapatua
 

Hahaha, umezibuka mazee. Inabidi unionee huruma tu.
 
My definition ya utamu: utamu is any feeling that result from a positive stimulus of one of our senses, or emotions...
So your "example/definition" covers JUST part of the concept... you can do better...
 
My definition ya utamu: utamu is any feeling that result from a positive stimulus of one of our senses, or emotions...
So your "example/definition" covers part of the concept... you can do better...

Kuna positive stimulus nyingine husababisha kudinda (ashakum si matusi) ambako kunaleta maumivu (e.g mkuyati/ viagra).

Hayo maumivu nayo ni utamu?

Brain cells can be excited positively by electric shocks, hiyo feeling ya electric shock nayo ni utamu?

Who can do better now?
 
furaha ni matokeo chanya ya hisia... hivo ni utamu pia..

Furaha inaweza kuzungumziwa kama utamu kama metaphor tu. Utamu ni ladha inayoweza kuonjwa kwa ulimi tu kama nilivyoeleza hapo juu (sukari/asali/muwa).

Vingine vyote ambavyo havina ladha hiyo, vikiitwa "utamu" ni kutia nakshi lugha kwa metaphor/simile/ analogy.
 

Because my definition is complete ( I hope), it covers all the aspect of utamu (I think), metaphoric or not...
Na Utamu wenyewe ni pale ambapo the recipient defines it as such. kwa hiyo mtoto wa kiume akidinda (ashakum si matusi pia), ikiwa atafurahia atakua kapata utamu. akiumia basi sio utamu... Brain cells zikiwa excited positively AND some or all of the 5 senses ziwe excited positively in the process, basi ni utamu. vingine itakua sio utamu... πŸ™‚
you are still to tell me what is utamu to you (mischievous smile)
 

1=2=3=4 et cetera, depending on the mood of the observer.

Then why call 1 as 1?

Wewe unachosema ni kwamba hakuna utamu wala uchungu. Utakachoamua kwamba ni utamu, ndicho utamu.

Halafu hata definition yako ya "positive stimulus" ni mfano tu, kwa sababu kwa mujibu wa definition yako mwenyewe, mwingine anaweza kuwa anapenda "negative stimulus" akaiita utamu.

Unaona unavyojichanganya sasa? Liberal Arts kwa kipimo dada, mwishowe utakuja kutuambia "moto ni pale utakaposema moto, hata barafu unaweza kuiita moto"
 
Exactely! who am I to define utamu na uchungu wa Globu? all I can do in this thread is to tell him how to recognize utamu au uchungu... what is "barafu"? what is "is"? lol
 
Exactely! who am I to define utamu na uchungu wa Globu? all I can do in this thread is to tell him how to recognize utamu au uchungu... what is "barafu"? what is "is"? lol

Hahaha, umezibuka, mara ushatu-Lewinsky na "What is "is"?"

Ma Engineer wa Apollo project wangesema "Who am I to define the fuel needed to go to the moon" wangefika mwezini kweli?

If you are not in a position to define "utamu" to Globu, who are you to tell Globu how to recognize "utamu"?

If your modesty prevents you from defining utamu to globu, it should also prevent you from giving the criteria of utamu to Globu. Otherwise your original modesty was false.
 
Hahahaha, (what is 'is'?), that was not for Globu... lol
I am giving him a definition that covers the concept. and, as a mater of fact, the definition is linked to the recipient senses and emotions... It is not false modesty, that is my definition. It has the merit of 'fencing' Utamu...
By the way, since we have you on this thread, is there a word for Utamu in any of the languages you speak (that is without Swahili, of course)...
the only one I know is 'elengi' and it is a bantu language too...
 

Halafu wewe hata hueleweki.

One minute "who am I to define utamu to Globu"

The next "I am giving him a definition that covers the concept..."

Contradictions tupu.
 
Halafu wewe hata hueleweki.
One minute "who am I to define utamu to Globu"
The next "I am giving him a definition that covers the concept..."
Contradictions tupu.
I get it that you did not get me... in a nutshell, I said that I was giving him a definition that covers the concept but at the same time the definition was depending very much on his own subjectivity as what is Utamu to me is not necessarly utamu to him. πŸ™‚
 

You are quite capable of eating your cake and still having it, after all, you can very easily "define" the empty space left after you eat your cake to be a "cake".
 
You are quite capable of eating your cake and still having it, after all, you can very easily "define" the empty space left after you eat your cake to be a "cake".
The empty space will be known as a cake for as long as nobody else successfully defines what it is...
What is your definition of utamu? (don't give examples πŸ™‚ )
 
The empty space will be known as a cake for as long as nobody else successfully defines what it is...
What is your definition of utamu? (don't give examples πŸ™‚ )

Wewe unaweza hata kuyaita mashonde keki, ukayabugia.

I have already defined utamu above, and moreover I have said every definition is an example. In addition to that, I challenged you to provide a definition that is not an example, you have not done so.
 
Utamu ni hisia ya (a)ladha fulani ya kitu inayopelekwa ubongoni kupitia ulimi na pua. Huwezi kuhisi utamu wa asali kama ukiiweka shavuni. Shurti mdomoni ili ulimi upeleke ripoti ya utamu. Kwa uhakika kwa vitu vyenye ladha ya sukari tunatumia neno tamutamu.Tunatumia neno tamu kama ladha ni ya kupendeza - kwa mfano chakula hiki ni kitamu ie ladha yake yaridhisha.(b) Mwili kuridhika au kufurahia hali fulani ni utamu pia. Mathalan ukimwamsha mtu aliyelala anaweza kusema:"Siamki sasa hivi, usingizi mtamu sana" Hapa anatumia neno tamu kwa sbb mwili unahisi raha kujinyoosha kitandani.

NAWASILISHA
 
kwa hiyo huezi kuskia utamu kwa kuona, au kwa kugusa/guswa, kwa kufikiria, kwa kuvuta hisia? Incomplete definition, try again.
 
kwa hiyo huezi kuskia utamu kwa kuona, au kwa kugusa/guswa, kwa kufikiria, kwa kuvuta hisia? Incomplete definition, try again.

Huwezi kusikia, kugusa au kuona utamu.

Kusikia utamu ni sawasawa na kuonja muziki, unaweza kuongelea "kusikia utamu" au "kuonja muziki" kama metaphor tu, lakini ulimi hauwezi kuonja muziki kama masikio yasivyoweza kusikia utamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…