Aibe tena arudi tu alipotoka.Nitamjuza madawa ya kulevya yalivyo dhibitiwa na ndugu bashite
na mtafutia demu kwanza maana atakuwa na uchu ile mbayaNi matumaini yangu sote tu wazima, nawaombea kwa Mungu wote walio tofauti kiafya.
Twende moja kwa moja kwenye suala husika,
Ndugu wana JF wenzangu je kwa wakati huu ukikutana na mtu aliye toka jela baadda ya kukaa huko kwa zaidi ya miaka 20 mpka 30, nini cha kwanza unaweza kumwambia ili apate picha ya wapi anakoenda na maisha anayoenda kukutana nayo baada ya kula na kulala bure.
Mbali na kumwambia VIROBA vimefungiwa je nini hasa ungependa ajue kutoka mtaani?
Wafungwa wakiwa jela WANAPATA HABARI kama kawaida na wengine hata TV wanawekewa. Pili wafungwa wengi hutoka nje kwenda kufanya kazi mbali mbali hivyo hujionea mabadiliko ya Majengo, barabara, magari nk. Kwa mambo hayo mawili hata mfungwa akikaa miaka 20 jela HATOKUWA MGENI SANA AKITOKA. Mfano Babu Seya na mwanawe mpaka hua wanashiriki matamasha mbali mbali. Na JPM kaagiza wafungwa WAFANYE KAZI KISAWA SAWA maana yake hata wa vifungo virefu watakua wakitoka kufanya kazi za nje sana tu!Ni matumaini yangu sote tu wazima, nawaombea kwa Mungu wote walio tofauti kiafya.