Utamwambiaje akuelewe?

ukiwa na bf anayepara miwa kama Mohamed Shossi wala haina usumbufu unamweleza kirahisi anakubali
 
huyo bf wako mko dini moja au tofauti? tatizo usije ukataka kumweleza mambo ya imani ambayo haielewi wala haimhusu,ataishia kukushangaa tu. Mfano rahisi ni ndugu zetu wa kabila moja Tanzania ya kati (jina kapuni) ambao wanafuata dini za asili,wao binti ruksa kulala chumba kimoja na mchumba wake.Sasa kama jamaa yako anatoka kabila hilo atakuelewa kweli na ulokole wako?
 
Nitamwambia "unajua kale ka mchezo ka kubambanisha vikojoleo kabla ya ndoa ni dhambi. Mungu anatuchabo tu ila inabidi tubadilike. Ndoa kwanza ndio tuendelee kuutilize hivi vidude vyetu"
tumia lugha ya picha kama yangu.
 
hehehe halaf huyu sweetdada nazani anafanya kazi saloon za sinza, kila siku anakuja na kesi mpya ya ajabu ajabu.

hahahhaha:lol::lol::lol:...klorokwini nitake radhi..kwani salon za sinza zina nini tena?
 
Tatizo sio kumuelewesha mwenzio, bali ni wewe kutimiza ndoto zako......! Tangu lini muonja asali kaonja mara moja?
 
itakuwa ngumu kidogo, otherwise kubali kushika kimoja na upoteze kingine, coz ulishamzoezesha kwa hyo kumuachisha gafla hataelewa somo na huenda akahisi umemchoka tu
 
chochote kinawezekana,hasa kama mnapendana mapenzi ya kweli,lakn kama mko na malengo tofauti,hiyo ni ngumu,na hapo ndo pa kuchukua maamz magumu,yaani kupigan chini!!!
 
Kuachana na umpendaye yataka moyo hasa kama bado unampenda
 
mwambie naye amrudie Mola kama ww hapo atakuelewa..pole.!
 
Huwezi kuukwepa moto.......kiutu uzima nitumie neno sex imatosha sana
kukujuza sweetdada sex before and after marriage of any directive is the same
action...je, una maana gani kusema ya shetani na je akikuoa hutasex naye
plz naomba tuache kuhalalisha dhambi kwa kisingizio cha kuacha ya shetani



Na tazama Mungu katika uumbaji wake alisema na kila kitu alichokiumba kilikuwa
kizuri je, unaweza kutujuza ubaya wa shetani ulitoka wapi? kifupi nyoka alikuwa kiumbe........................................................na hasa ni kiumbe na tena
mwerevu ndiyo mantiki ya kumdanganya hawa na kuasi sheria ya Mungu..je, unaweza
kutujuza njia zipi utakazoweza kusema na nyoka ikiwa yeye ni mwerevu na dalili
za upendo wa shetani unazo na hujatujuza kuwa mwanzoni alipokupata na mkasex alitumia njia zipi kama si hizo za nyoka mwerevu?

falsafa ni maisha ....mimi napita tu na wala usinihukumu kwani nami ni mhukumu.
 


Mh!Dinipevu mbona umeongea tungo tata?sijakuelewa hapo kwenye red..
nimesema ya shetani kwa maana ya kuwa they say sex before marriage ni dhambi..je hapo wew unasemaje?
 
Kwanza mualike kanisani, halafu chapa maombi kisawasawa, baada ya ibada mueleze, :A S clock: :A S clock:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…