Utando mdomoni kwa mtoto

Utando mdomoni kwa mtoto

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,591
Reaction score
1,616
Hivi nini kinachosababisha utando mdomoni mwa mtoto? Hii inakuwa hasa pembeni mwa mdomo pande zote mbili...ni kwa nini? naombeni msaada wenu enye kujua huu utaalam.
Natanguliza shukurani.
 
Pole mkuu vuta subira wajuzi pamoja na ma dr watakuja kutupa ufumbuzi. Huwa hata pia kuna baadhi ya watu wakubwa hutokewa na hali hiyo. Naungana nawe mkuu kungoja majibu mazuri ya ma dr wetu.
 
Mpeleke mtoto kwa hospital hapa watakuja watabibu poli kibao na watakupeleka poli vilevile.
 
sijuhi unasababishwa na nini ila dawayake naijua ni asali mlambishe mtoto asali utaisha wakati mwingine unawatoke kwenye ulimi.
 
Mpeleke mtoto kwa hospital hapa watakuja watabibu poli kibao na watakupeleka poli vilevile.

Acha dharau wewe, watu tumepata tiba JF bila hata kwenda hosptali
 
Kwa uzoefu,huo ni upungufu wa vitamini C.Jitahidi kumpa matunda,pia dawa za kuongeza vitamini zipo.Kwa uhakika zaidi wahi kwa daktari
 
By polisi: Nakusapoti Mkuu. JF DOCTOR ndo kila kitu. Pia professional Doctors wapo wengi sana kwenye JF na wanatoa ushauri mzuri sana.
 
Ni mtoto wa umri gani? Bado anayonya?(au anatumia maziwa ya kopo?)
 
Back
Top Bottom