Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Huyo nae asiwadanganye wanaume wenzake,mim km mwanamke namwambia huo ni uchafu unaokuwapo ukikaa bila kusaficha uke...masikini mwanaume huyo ameingiza uchafuni tena km umeingia chumvini maaamaaaaa weee!pole
 
Kaka zubeda mchizi kweli umeamua kuwa mjinga mjinga na kuutetea ujinga wako mpaka povu linakutoka mdomoni! Ah, kaka zubedaa... Mzee wa utando mweupe! KWA KIFUPI HUYO DEM WAKO NI MCHAFU HAJUI KUIOSHA HIYO SAMSINGI YAKE! UKIACHILIA FANGASO ZA UKENI NDANI DEMU WAKO ANA MA-U.T.I YA KUMWAGA! PELEKA YEYE SIBITALI
 
Akina dada muwe na kipimio cha sh*wa za wanaume zenu (kana afisa mifugo apimavyo maziwa kama yamechanganywa na maji). Ukiona imepungua baada ya tendo la ndoa jua jamaa kacheba njee ya ndoa🙂

He he he, wanakula karanga mbichi wewe!!!Ni ngumu kumgundua mwanaume anaye cheat!
 
Huyo nae asiwadanganye wanaume wenzake,mim km mwanamke namwambia huo ni uchafu unaokuwapo ukikaa bila kusaficha uke...masikini mwanaume huyo ameingiza uchafuni tena km umeingia chumvini maaamaaaaa weee!pole
Hapa uchomoki...unalo
 
Umemaliza
 
Nanren, inaweza kuwa kweli. Lakini mimi nilimaanisha kwamba licha ya wanyama na ndege pia (naelewa ndege zio wanyama) kujamiana pale panapotokea hitaji, pia wana vitendo wanavyofanya kabla ya tendo kuu, vitendo hivyo mimi ndiyo nimevieleza kama ni "foreplay" kwa upande wao. Maana licha ya wanyama au ndege au kuwa kwenye "heat", ufanyiana vitendo vya kuamsha muemko ya tendo lenyewe, sasa katika kuamsha muemko, ndiyo hapo "foreplay" inakuja. Ingawa siyo katika context sawa na binadamu; ila hii argument inaweza kuhitaji more validation.
 
Last edited by a moderator:
in addition girl freind wako hajui kujiosha so ukitana nae ni kama unakuwa umeuzibua kaka so she is dirty unaweza mkapata mgonjwa...
 
Ni masalia mengi ya mbegu za kiume (shahawa) uliyokuwa unamdumbukizia demu wako ukeni, siku za nyuma, mfululizo. Yameisha kaa kwa muda mrefu, sasa inabidi yatoke, kwa jinsi mnavyozidi kusuguana.
 
kaka Zubeda, kwa kweli hoja yako sio kweli kabisa, huo utando unaousema ni uchafu kwa maana kwamba huyo wifi yetu hajajua kujisafisha bado, nakushauri umwambie akamuulize shangazi yake au bibi yake namna mwanamke anavyotakiwa kujisafisha.
 
......hapa pazito hapa..... Panahitaji utulivu kabla ya kuchangia pande yeyote ile....
...ila nimeamua ya Zubeda kumwachia Zubeda.....
 
Ni masalia mengi ya mbegu za kiume (shahawa) uliyokuwa unamdumbukizia demu wako ukeni, siku za nyuma, mfululizo. Yameisha kaa kwa muda mrefu, sasa inabidi yatoke, kwa jinsi mnavyozidi kusuguana.


.....mmmnnhh..!!
 
endelea kuamini unavyoamini,imani ni kitu cha ajabu ndio maana wengine wanaabudu ng'ombe...mie sikushangai....biology ilikupiga chenga,usinipotezeee muda anti zubeda.

Mimi namshangaa sijuhi kwa nini hataki kuelewa, huyo ana ugojwa wa jamii ya fungus(candidas) na hii hua inatokea kwa watu wenye ungonjwa wa kisukali au ambao kinga zao za mwili zimepungua vile vile wagonjwa wa ukimwi wanakuwaga na tatizo hilo. Mshauri aende Hospitali badala ya kukaa anabishana.
 
Huo unaitwa UTOKO na wakati mwanaume anapokuwa hajatahiriwa akilifyedua dubwana lake kuna huo utando mweupe ambapo unatakiwa kuusafisha mara kwa mara
 
Nachokiona hapa ni kitu kidogo sana...hayo mautando ya fangasi si nayoyasema hayo nayajua.
Lakini huo ni ule ambao hutoka mdada akiwa hajasex muda mrefu hata awe msafi vp...hayo unayosema wewe ndo uchavu,Hamna wasichana nyie.

umetanguliza ubishi mbele,gazeti la risasi la tarehe tisa limeelezea tatizo lako na ufumbuzi we unakuwa mbishi. kwa kifupi hilo ni tatizo kabisa moja ya sababu ya tatizo hilo ni uchafu. kama kuna mtu alisoma gazeti la risasi la jana amueleze dada zubeda
 
utaibiwa mkuu kwa hili sio kweli njia moja wapo yakujua mwenzio haendi nje ya ndoa
 
zubeda, kaka kwanza pole sana kwa majibu uliyoyapata. naomba nikwambie kwa exeprience yangu ya kufundisha biology for 10 yrs na nikiwa wa jinsia ya ke. kisha ukishanielea bas utajua ukamwambieje huyo mpenzi wako, ila sikusuti.

vaginal lubricant ziko za aina kuu 3 ya kwanza ni ile anayoitoa mdada ambo iko kama nyeupe(naomba nisitumie biological terms ili tuelewane) yaani uko kama rangu ya makamasi mepesi huu uwa soon baada ya period na huendelea mpaka kaibu ya siku ya kutaka kuingia ovulation ambapo hapa napo ute huu hubadilika na kuwa mwepesi zaid. hi huwa mwepesi ili kuweza kufanya sperm movement kuwa easy, na hudumu for about siku 7 hivi. hapa tena huwa mzito tena kama ule wa kwanza na huendelea kuwa mzito zaid kama vile maziwa mtindi hadi kufikia siku ya kupata hedhi. ute huu uko hivi ili kuweza kumsaidia mama kupata mimba au kumkinga na mimba. mathalan unapokuwa mzito unakuwa viscous therefore mbeg haiwez kupenya kwenda kuchavusha yai.

kadhalika wanawake wanaotumia dawa za kupanga uzazi, kama vidonge au sindano au implants huwa wanakuwa na ute mzito throughout kwani hormones hizi hupunguza uwezo wa yai kupoea mbegu kwa kupunguza zile hali muhimu zinazotakiwa kuwepo ili mimba itungwe.

napingana na hao wanaokuambia kuwa ana fangas lakin pia siyo kweli. ile ni hormonal secretion. ...

lakini pia mwambie huyo bi dada wakati wa kunawa ashike kidole chake cha kati akitumie kujiswafi kwani hayo mamgando hayapendezi machoni. ahakikishe ananawa na maji masafi bila kuweka antisceptics, aingize hicho kidole kwenye utupu wake ili autoe huo uchafu manake pia kama hajui kuutoa na jojo kali yanaweza kumfanya akanuka chupi.

kamwe asiweke sabuni wala antisceptic hukoatumie maji safi tu abayo kama aliweza ayachemshe kisha ayaache yapoe kabisa ili yasiwe na bacteria naongelea yawe salama kama ya kunywa. ndipo kwa kutumia kidole chake tena kiwe kisafi aingize huko kuosha.
 
Last edited by a moderator:
zubeda, kaka kwanza pole sana kwa majibu uliyoyapata. naomba nikwambie kwa exeprience yangu ya kufundisha biology for 10 yrs na nikiwa wa jinsia ya ke. kisha ukishanielewa bas utajua ukamwambieje huyo mpenzi wako, ila sikusuti.

vaginal lubricant ziko za aina kuu 3 ya kwanza ni ile anayoitoa mdada amboyo iko kama nyeupe(naomba nisitumie biological terms ili tuelewane) yaani uko kama rangi ya makamasi mepesi huu hutoka soon baada ya period na huendelea mpaka karibu ya siku ya kutaka kuingia ovulation ambapo hapa napo ute huu hubadilika na kuwa mwepesi zaid. ute huu huwa mwepesi ili kuweza kufanya sperm movement kuwa easy, na hudumu for about siku 7 hivi. hapa tena huwa mzito tena kama ule wa kwanza na huendelea kuwa mzito zaid kama vile maziwa mtindi hadi kufikia siku ya kupata hedhi. ute huu uko hivi ili kuweza kumsaidia mama kupata mimba au kumkinga na mimba. mathalan unapokuwa mzito unakuwa viscous therefore mbegu haiwez kupenya kwenda kuchavusha yai.

kadhalika wanawake wanaotumia dawa za kupanga uzazi, kama vidonge au sindano au implants huwa wanakuwa na ute mzito throughout kwani hormones hizi hupunguza uwezo wa yai kupokea mbegu kwa kupunguza zile hali muhimu zinazotakiwa kuwepo ili mimba itungwe.

napingana na hao wanaokuambia kuwa ana fangas kwani siyo kweli. ile ni hormonal secretion. ...

lakini pia mwambie huyo bi dada wakati wa kunawa ashike kidole chake cha kati akitumie kujiswafi kwani hayo mamgando hayapendezi machoni. ahakikishe ananawa na maji masafi bila kuweka antisceptics, aingize hicho kidole kwenye utupu wake ili autoe huo uchafu manake pia kama hajui kuutoa na joto kali yanaweza kumfanya akanuka chupi.

kamwe asiweke sabuni wala antisceptic huko atumie maji safi tu abayo kama aliweza ayachemshe kisha ayaache yapoe kabisa ili yasiwe na bacteria naongelea yawe salama kama ya kunywa. ndipo kwa kutumia kidole chake tena kiwe kisafi aingize huko kuosha.
 
Haya mtaalamu wa biology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…