Utando Mweupe Wakati wa Kujamiiana....(Ishara ya Uaminifu ndani ya mahusiano)

Si lazima iwe ni alama ya uaminifu. Vipi kama anapendelea kutoa 'mtandao' zaidi? Siku hizi mambo yamebadilika sana ndugu!
 
Isue si kuoga.isue si fungus,isue si uzoefu.huko kote tumepita na hakuna shida ya ugonjwa kbs.Mpaka naandika hapa najua nini nachoandika.
 

Tatizo na wewe hujatuambia source ya haya ni nini?? Personal experience?? Umesoma kitabu gani? Web site....Lol.
 
nikuite dada, au kaka.and that is very childish of you using the identity which is not urs to disgues other, i though this forum is full of right minded people who thinks critically..
 

Kijana umeeleza vizuri sana lakini nachosema mimi hayo magroup yote huwa hvyo vitu havionekani kama mna du kila siku,kwan kama mna sex daily vagina huwa safi sana na huo ukoko huwa hauji ila kama mkikaa hata one week vagina hudhalisha hzo material,alafu hii cjaiona kwa msichana 1,ni wengi.
Nakubali kuwa maumbile ya kike yapo na sura moja bt utabia wake ndo upo tofauti.
Kama unabisha mwache mkeo one week then Tumia chumba utaona nini kinatokea.
 
bihashara matangazo mkuu jamaa labda anauza tgo na kununua mbnye samtyme

Kwani anaejiita njiwa yeye ndege.
Kwani anaejiita kongosho yeye ni kongosho
Kwan we ni default kweli.
Hakuna anaenipangia kwa hilo...changia mada then Sepa.
Wote humu mna ID za uongo na Picha za Uongo.we kwangu Ndo unaona pa kuuliza na mapovu juu.
 
nikuite dada, au kaka.and that is very childish of you using the identity which is not urs to disgues other, i though this forum is full of right minded people who thinks critically..
Nyani haoni kundule
 
Wanawake wanatoka na ute kutokana na kipindi na kipindi . Ukiona anatoka ute laini mwepesi ujue ni siku yai linapotoka. Then ukiona ute mzito ujue unatoka kabla ya yai na baada ya yai kutoka. Then after that inakuja dry season no ute...so usije sema gf kacheat.

Ila pia kuna ute wa ugonjwa kama unatoka na harufu mbaya au unarangi tofauti
 
Uchafu huo na mifangus mwambie atumie dawa unakwisha kabisa na kama ni uchafu awatafute makungwi wamuelekeze jinsi ya kujiswafi...

Kumbe ulishapata demu thru love connect.
huo ni uchafu mwambie awe anajisafi vizuri huko kunako. usitake kutudaganya hapa sasa nyie wanaume tutawagundua vipi kama hamcheet
 
Kujiswafi kwake kunahu sana hapa.
mnapo du kila siku inaamanisha mwanamme anatumika kama kitendea kazi cha usafi, so uchafu unaisha
Anapokaa muda mrefu ucchafu una-accumulate tena hadi mwanamme akamsafishe.
Kama smell ni tofauti na mbatata 'be eyes'
 
Jina na avatar vinaendana lakini vinapingana na madai yako kuwa wewe ni mwanaume....otherwise una matatizo...
1. Kwanini utumie jina la kike?
2. Kwanini uweke avatar ya Kike?

Ukinipa majibu ya kuridhisha nitarejea hapa kuchangia hoja yako.

Igwe_like this.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…