Kutokana na kashfa mbaya ya kulaumiwa kwa matokeo ya CSEE kuwa mabaya hapo awali,ikapelekea kufutwa na kupangwa upya kufuata vigezo vya mwaka 2011 kwa walio kuwa candidates.
Ni tetesi kuwa umalizwaji wa kupangwa kwa matokeo kukamilika...JE Tutegemee nini endapo hakutokuwa na umakini?!