Nilimwita mwanamke siket kwasababu nilinunua nyama nkamwambia apike, ile nmerudi kutoka chuo nikiwa nmejiandaa kula pishi la mrembo... cha ajabu nakuta amepika viazi akachanganya na zile nyama alafu akakoroga ikawa kama uji....
Namuuliza pishi gani hili anasema alizidisha maji, nkamwambia kweli wewe mwanamke sketi...
Alivorudi kwake akaniblock nikamtafta na namba ingine, nkamuuliza kimetokea nini akadai nitafte mwanamke mwingine coz yeye ni mwanamke sket