Utunzaji wa rasrimali ni muhimu kwa mahitaji ya baadaye.Huoni hata mkuu wa hesabu za njuluku za kaya ameona tulipe tu tudeni twetu ili ikitokea dharura tuwe na pakukimbilia.Sasa waza kama kuku ulimnywa mchuzi halafu ukaumwa mboga utatoa wapi?Mkuu hujui kwio ni mboga ya dharura ndio maana yafaa kwa mgeni wa ghafla?Tuacheni tutunze kuku zetu kwa maslahi mapana ya kikaya na wapendwa matabibu wetu wanapohitaji wasio na rangi(thubutu kwio alivyo mtamu vile).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.