Utani ikikugusa Badilika

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
*#Ujinga_ni_nini [emoji2][emoji2][emoji116][emoji116]*

*[emoji117]Ujinga ni kujikunja kubinua makalio, nywele feki, kucha feki, nyusi feki , makalio feki, vyeti feki [emoji6], ukakataa [HASHTAG]#Uhalisia[/HASHTAG] wako kwa kudhani wanaume wote wanapenda , wig, nails & makalio feki , #Be_real, wa kukukubali atakukubali jinsi ulivyo..*

*[emoji117]Ujinga ni kuvunja ndoa ya mwenzio, ukidhani wewe utaiweza.. Huu umepitiliza [emoji38]*

*[emoji117]Ujinga ni kumwekea mwenzio kibifu , ambae mmetoka nae chini kiuchumi, kisa tu umepata pesa, umebadilika*
*[emoji421] #Huo_ni_ulimbukeni_na_Upuuzi, Pesa hutimiza tu mahitaji fulani, ila Upendo tu ndio huimarisha mahusiano*

*[emoji421]Taendelea kesho, yakikugusa ndo vzr, ubadilike maana me hapa siwaandikii Ng'ombe [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] (utani)*
 
Dooooh!!!! [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Hapa jirani na kazini kwangu mwenge nakiete kuna watotoo [emoji50] ooh acha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…