Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza, huyo kiumbe Genta anaongea ongea sana humu kujifanya yeye ndo anajua kila kitu kana kamba viongozi wetu wapenda hawafanyi kazi nzuri vile na anavoonekana ni mtu mwenye uchu na madaraka sasa nauliza ikitokea akipewa kibuyu cha asali hata wilayani tu atakitunza au nimaneno maneno tu anajiongelishaga kujifanya malaika