Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
nahisi analamba unga muda huu yeye si mthimbazYupo hapa atakujibu punde!
Andaa condom anakujaKama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza, huyo kiumbe Genta anaongea ongea sana humu kujifanya yeye ndo anajua kila kitu kana kamba viongozi wetu wapenda hawafanyi kazi nzuri vile na anavoonekana ni mtu mwenye uchu na madaraka sasa nauliza ikitokea akipewa kibuyu cha asali hata wilayani tu atakitunza au nimaneno maneno tu anajiongelishaga kujifanya malaika
View attachment 2419331
TANESCO leo wamenikatili kwa Kukata Umeme tokea Saa 1 Kamili Asubuhi na Kuurudisha Saa 12 na Nusu Jioni hivyo Simu yangu nayo haikuwa na Chaji kabisa ndiyo nimeingia JamiiForums na Kwingine ( Facebook, Instagram na Twitter ) Saa 3 na Nusu hii.Duh! maajabu haya!!!?? mpaka sasa hivi hajaja!!??
hahaha. Ngumbaru umesahau ... Ila jamaa ana mengi ya kufundisha.mfano wa majibu ya mwamba.
[emoji116]
mimi sio mjinga(tahira) kama wewe chizi(mwehu) usie na akili wa kukataa(kupinga) teuzi,kama kichwa chako kikubwa(kisicho na akili) kitakua na fikra za mimi jenta kukataa basi ume(vaba)potea[emoji23][emoji28]