mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
You're right... tena huyo "Muhindi Koko" baada ya kuweka voice baadae akatumia photoshop ku-fake picha ili jamaa aonekane amevaa barakoa na glove wakati anataka kukata papai!Iyo video imewekwa voice na muhindi koko wa apa TANZANIA
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Lakini ndoto bado zinaendelea ingawa walitaka kuzizima.Mimi namtoa BWM kwa kuwa tuko hapa kwa matokeo ya wana Mtandao wale wa u-Rais wa 2005. Halafu JAKAYA alipofika madarakani yeye na mshirika wake LOWASA walianza kwa kumchafua BWM. Wakamtengenezea kashfa ya Mgodi wa Kiwira through TANPOWER. wakasema mpaka akadharaulika mbele ya jamii.
Isitoshe, Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kabisa kuacha LEGACY kwa kuwa
1.Ni yeye peke yake aliyelazimisha kubadili Katiba ya CCM kwa kuwatoa Viongozi na Marais Wastaafu kwenye Central Committtee ili apate nguvu nyingi binafsi
2 Alishindwa kutuachia Katiba mpya pamoja na kutumia Mabilioni ya fedha za walipa Kodi
3.Jakaya ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati Kuu iliyomingiza Magufuli kuwamo kwenye 5 Bora
4. UDHAIFU wake ndiyo uliopelekea CCM kutaka mtu mbabe!
5. Aliendekeza BIFU lake binafsi na LOWASSA
My take: We are here BECAUSE of JAKAYA KIKWETE and don't include BWM
Nakwambiaje iyo video haikua na ujumbe huo bali umepachikwa voice tofauti na mwanzoYou're right... tena huyo "Muhindi Koko" baada ya kuweka voice baadae akatumia photoshop ku-fake picha ili jamaa aonekane amevaa barakoa na glove wakati anataka kukata papai!
blaza una hasira sana,ila nakusihi nenda taratibu.Siyo utani bali ni matokeo ya upumbavu wake anao uanika kwenye jamii ya kimataifa
You're right... tena huyo "Muhindi Koko" baada ya kuweka voice baadae akatumia photoshop ku-fake picha ili jamaa aonekane amevaa barakoa na glove wakati anataka kukata papai!Nakwambiaje iyo video haikua na ujumbe huo bali umepachikwa voice tofauti na mwanzo
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Mimi namtoa BWM kwa kuwa tuko hapa kwa matokeo ya wana Mtandao wale wa u-Rais wa 2005. Halafu JAKAYA alipofika madarakani yeye na mshirika wake LOWASA walianza kwa kumchafua BWM. Wakamtengenezea kashfa ya Mgodi wa Kiwira through TANPOWER. wakasema mpaka akadharaulika mbele ya jamii.
Isitoshe, Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kabisa kuacha LEGACY kwa kuwa
1.Ni yeye peke yake aliyelazimisha kubadili Katiba ya CCM kwa kuwatoa Viongozi na Marais Wastaafu kwenye Central Committtee ili apate nguvu nyingi binafsi
2 Alishindwa kutuachia Katiba mpya pamoja na kutumia Mabilioni ya fedha za walipa Kodi
3.Jakaya ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati Kuu iliyomingiza Magufuli kuwamo kwenye 5 Bora
4. UDHAIFU wake ndiyo uliopelekea CCM kutaka mtu mbabe!
5. Aliendekeza BIFU lake binafsi na LOWASSA
My take: We are here BECAUSE of JAKAYA KIKWETE and don't include BWM
Yapi hayo. Sasa ndio watajiu mchele na pumba!Ameyataka mwenyewe.
true...jamaa ni fake fakeMimi namtoa BWM kwa kuwa tuko hapa kwa matokeo ya wana Mtandao wale wa u-Rais wa 2005. Halafu JAKAYA alipofika madarakani yeye na mshirika wake LOWASA walianza kwa kumchafua BWM. Wakamtengenezea kashfa ya Mgodi wa Kiwira through TANPOWER. wakasema mpaka akadharaulika mbele ya jamii.
Isitoshe, Jakaya Mrisho Kikwete ameshindwa kabisa kuacha LEGACY kwa kuwa
1.Ni yeye peke yake aliyelazimisha kubadili Katiba ya CCM kwa kuwatoa Viongozi na Marais Wastaafu kwenye Central Committtee ili apate nguvu nyingi binafsi
2 Alishindwa kutuachia Katiba mpya pamoja na kutumia Mabilioni ya fedha za walipa Kodi
3.Jakaya ndiye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati Kuu iliyomingiza Magufuli kuwamo kwenye 5 Bora
4. UDHAIFU wake ndiyo uliopelekea CCM kutaka mtu mbabe!
5. Aliendekeza BIFU lake binafsi na LOWASSA
My take: We are here BECAUSE of JAKAYA KIKWETE and don't include BWM
Anatuaibisha Sana eti huyo ndo nembo ya Taifa R.I.P Ben Saa naneAmeyataka mwenyewe.
Membe alitaka kututoa kwenye hili dimbi wakamfukuza uwana chama🙄🙄🙄🙄🤪🤪🤪
Si wangempa urais hata marehemu Jaji Agustino Ramadhan R.I.P. Mungu tuepushe na hiki kikombe angalau mama Samia awe rais tupunguze kuchekwa na majirani na dunia nzimaHii serikali ya kishetani imeshaitangazia dunia kua vyakula vyetu vina corona.....Ushamba na ulimbukeni wa madaraka
Tulilo nalo ni libalaa haswaaSi wangempa urais hata marehemu Jaji Agustino Ramadhan R.I.P. Mungu tuepushe na hiki kikombe angalau mama Samia awe rais tupunguze kuchekwa na majirani na dunia nzima