OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii "tusi" mara nyingi hulisikia kwa Haji Manara "akiwatukana" Yanga,lakini sikuwahi kujua hasa maana yake na lilitokana na nini
Mwenye kufahamu please
Mwenye kufahamu please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipindi yanga walicheza bila Jersey wakiwa vifua waz ndomana wakawaita gongo waziUmeniwahi hata mimi nilitaka kuuliza
Kuna mtu nilimuita gongo wazi alimaind sana
Haji manara ndio anapenda kulitumia sana hili neno
Mwaka ganiOk..zamani Yanga walikuwa wanacheza bila jerseys ndio maana wakaitwa gongo wazi...pia nilisikia kuna mechi timu ya Simba ililazimishwa kuvua viatu ili kuwa sawa na wapinzani wao yanga.
hahahaOk..zamani Yanga walikuwa wanacheza bila jerseys ndio maana wakaitwa gongo wazi...pia nilisikia kuna mechi timu ya Simba ililazimishwa kuvua viatu ili kuwa sawa na wapinzani wao yanga.