Baba anamuuliza mtoto wake wa kiume:
Baba: Ukiwa mkubwa utapenda ufanye kazi gani?
Mtoto: Mimi napenda sana Udaktari!!.
Baba: Kwanini?
Mtoto: Kwa sababu ndio kazi pekee unayoweza kumuamuru mke wa mtu avue nguo na akavua bila kumtongoza, na bado mume wake anakulipa pesa.
Baba: Duuuh....!!! Hii hasara kubwa.