Utani mwingine bwana??!!

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
5,143
Reaction score
3,199
Kuna mambo huwa tunayafanya kama funny lakini mwisho wake yanatupeleka pabaya sana. Sasa hebu niambie incidence kama hii. Huku si kujitakia kweli?

[video=metacafe;3313690/go_to_bed_still_laughing/]http://www.metacafe.com/watch/3313690/go_to_bed_still_laughing/[/video]
 
huyu sijuhi ataeleza nini familia yake maana live on TV
 
Hahahaaaa............atawambia alikua anatani tu.........
 
Yaani hii kwakweli haipendezi kabisa. Ni aibu ya mwaka.
 
Kwa tafsiri ya harakaharaka inatatanisha!inaonekana ni kama changudoa aliyekurupuliwa na hatari ya moto,alipokuwa anafanya ukahaba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…