Nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, maana wewe upo!
Shida ni kwamba watu hawajui hatari zinazowakabili at any time wapitapo popote!
Yamkini wewe wajiona salama, lakini kwa macho ya kiroho umezungukwa na wadudu wabaya kuliko mbwa rafiki!