🤣🤣🤣🤣 shindikana hivi kuvuka mipaka ndio kukoje?Napenda sana utani , huwa nikitaniana na shindikanaa Siku yangu humu inaenda poa sana
Note: sema utani usivuke mipaka yake tu.
ChaiKuna mkaka alimtania demu wake kakeketwa mpk akaamua kuvua pichu atuhakikishie 😹😹
Mara pap baada ya kutuaminisha, nae akamwambia bwanake ana pumbu moja.. watu oyoooooo.!! Zamu yake atuonyeshe.!! 😹
Aliweza sasa?? Kumbe jamaa kweli ana pumbu moja 🤣🤣😹
Kutukana na kutweza utu😂🤣🤣🤣🤣 shindikana hivi kuvuka mipaka ndio kukoje?
Oooh! Karibu mbege.Kutukana na kutweza utu😂
Hahaha inaniumizaga tumbo🤣Oooh! Karibu mbege.
Sinsi weni?Hahaha inaniumizaga tumbo🤣
Hawa walikua wamechokanaKuna mkaka alimtania demu wake kakeketwa mpk akaamua kuvua pichu atuhakikishie [emoji81][emoji81]
Mara pap baada ya kutuaminisha, nae akamwambia bwanake ana pumbu moja.. watu oyoooooo.!! Zamu yake atuonyeshe.!! [emoji81]
Aliweza sasa?? Kumbe jamaa kweli ana pumbu moja [emoji1787][emoji1787][emoji81]
Sasa we binti utamfumua nani 😀😀😀Anafikisha Ujumbe kwa njia hiyo.... haitakiwi umcheleweshee ...mpe hapohapo...akizingua mfumue...mazoea ya kiboya nani anataka
Serious ujue 😹😹Nije na mandazi au chapati 😂
Hawakuchokana Ila wana mizaha mingi..!!Hawa walikua wamechokana
Uzuri hata ukiwa na pumbunyo Moja unatia mimba freshSerious ujue 😹😹
Shauri yako..!!
Kuna utani wa dhihaka ngumi lazma zirushwe kusuluhisha mgogoroUtapelekwa polisi Kwa kesi ya shambulio