OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Watani wangu ni kama wamekosa mtu wa kumlaumu. Sasa mimi nawasaidia, mbaya wenu ni huu Mtandao wa YAS. Hili jina limewalenga nyinyi.
Mnakumbuka mmeshapigwa mara 3 mfululu? Kuna vipigo vingine mvitarajie vya hivi karibuni. Siku chache zijazo mtaenda AC Algers kisha TP Mazembe. Unafikiri hao watakubali mwafungwe wakiwa kwao? Kwa timu ipi? Nendeni mkagangamale huko.
Imagine timu inafungwa mara 5 mfululizo. YAS Yanga atagungwa Sana. Huyo ndio mbaya wenu, kama mnaweza pigeni amsha amsha YAS wabadili jina