Utanimisi kwa lipi:Natoka kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF kwa miezi yote iliyobaki mpaka mwaka 2019.Kwaheri JF

Utanimisi kwa lipi:Natoka kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF kwa miezi yote iliyobaki mpaka mwaka 2019.Kwaheri JF

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ,nawaaga wanaJF wenzangu wote kuwa natoka nje ya family yetu hii nzuri ya JamiiForums kwa miezi 9 hii iliyobaki kuumaliza huu mwaka.

Nitawakumbuka wanaJF wote (kwa ID hizo hizo fakes) ambao kwa namna moja au nyingine,kwa kushirikiana tumeweza kuifikia siku hii ya leo salama.

Ni mawazo mazuri na mabaya pia ya baadhi ya members wa JF yamesaidia kujenga familia bora kabisa hapa JF.

Ni upendo wangu wa dhati kwenu ndio umenileta mbele yenu kuwaaga wanafamilia wenzangu kuwa natoka nje ya familia kwa muda.

Leo hii napoandika hapa JF nakiri kabisa sio Deadbody yule yule kabla ya kujiunga JF.
Kupitia maarifa,hekima,busara,upendo na mambo mengi mazuri yaliyopo JF yamesaidia kujenga jamii imara muda wote,jamii ya watu jasiri,wasio waoga,wajenga hoja zenye mashiko,heshima ,na mambo mbalimbali.

Nawaaga wanafamilia wote humu bila kujali cheo,dini wala kabila.

KWAHERI JF
 
Narudi kwetu nyumbaniiii[emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Poa mkuu jiburudishe kwa haka ka mstari kwa raha mustarehe. Byeee
Hapana sina ID nyingine mkuu.Hii hii ya Deadbody sina ugomvi na mtu yeyote yule hivyo hakuna sababu ya kuibadili.
 
Huku watu wanamkwara, anaaga sijui anatoka, kumbe anakuwa anakuwa anazurura tu humu bila kuchangia chochote...
Wengi wanaumbuka kwa mtu kuangalia profile yake ambapo inaonyesha mara ya mwisho kutumia jf ni lini...
Kuna mmoja aliaga, kuwa anaondoka ikawa ukitembelea profile yake unaona "viewing forum 3 minutes ago"
....huyu jamaa anapima upepo wa members tu, hiyo miezi tisa aliyosema watu wawe wanaangalia profile yake waone kama kweli hatotumia jf kuanzia leo...
 
Mm nmeaga socially network zote
N Jf tu ndo nmebak nayo
 
Back
Top Bottom