Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu ,nawaaga wanaJF wenzangu wote kuwa natoka nje ya family yetu hii nzuri ya JamiiForums kwa miezi 9 hii iliyobaki kuumaliza huu mwaka.
Nitawakumbuka wanaJF wote (kwa ID hizo hizo fakes) ambao kwa namna moja au nyingine,kwa kushirikiana tumeweza kuifikia siku hii ya leo salama.
Ni mawazo mazuri na mabaya pia ya baadhi ya members wa JF yamesaidia kujenga familia bora kabisa hapa JF.
Ni upendo wangu wa dhati kwenu ndio umenileta mbele yenu kuwaaga wanafamilia wenzangu kuwa natoka nje ya familia kwa muda.
Leo hii napoandika hapa JF nakiri kabisa sio Deadbody yule yule kabla ya kujiunga JF.
Kupitia maarifa,hekima,busara,upendo na mambo mengi mazuri yaliyopo JF yamesaidia kujenga jamii imara muda wote,jamii ya watu jasiri,wasio waoga,wajenga hoja zenye mashiko,heshima ,na mambo mbalimbali.
Nawaaga wanafamilia wote humu bila kujali cheo,dini wala kabila.
KWAHERI JF