Utanioa?

sijawai kukutana na swaga ya ivo. Mimi huwa nakutana na zile ooh mimi ndo huwa nasaini ndege zinaruka pale amterdam bila saini yangu hamna safari ,nk
 
Hapa sasa ndio nimeanza kuamini rasmi kwamba kiswahili sio lugha ya mahaba, yaani kumtokea demu hadi umdanganye kumuoa! Na wale wake za watu tunaovunja nao amri ya sita huwa tunawapataje?
 
sijawai kukutana na swaga ya ivo. Mimi huwa nakutana na zile ooh mimi ndo huwa nasaini ndege zinaruka pale amterdam bila saini yangu hamna safari ,nk
Hahaha! hiyo kali wajameni tena Schipol Airport one of the busiest in the world ? atasaini karatasi ngapi ? wanaume wenzangu bana we acha tu kuna mmoja bar nilimsikia akimdanganya binti eti ye haendagi benki meneja anamletea hela nyumbani,nikawaza hata Bakhresa na Manji hawaletewi home hahaha!
 
ahaa mr husninyo bwana hizo ndo swaga za ukweli kuoa si issue maana wanawake wenyewe kuolewa hawataki hata
 
hapo umenena, utakuta mtu kakomaa kabisa eti nioe, huku akiwa hafany lolote ktk kuboresha uhusiano...lol
 
Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?

Mwambie unataka mchezeane
 
acha uongo. Mi binafsi mtu akija na gia za ndoa ananichefua, haiwezekani watu hamjafahamiana uanze kutangaza ndoa.

mwanamke anataka maneno matamu, namaneno matamu huyapati mpaka uchanganye nauongo, ataww mbona unadanganyika2, kamawe niwa kike lazima udanganywe2 we hupendi kubembelezwa?
 
To Bebi,.

Aah? Inaonyesha we nimkali?, sasa watakua waki kuambia wana sain tkt za mbinguni,
 
Hi Guys!, Mi naona sio girls tu ndio wanapendwa kudanganywa even some boys, ulishawahi kusikia some boys wanalazimisha relation mpaka wanaomba kuwa tu spare tyre, unajua mtu usimforce kuoana just mchunguze tabia yake, within 3 months tu, utadecide kuendelea naye or not, hizi ndoa za kulazimisha kisa shosti wako kaolewa March na we unataka kabla mwaka haujaisha uolewe, ni mateso matupu
 
Kina dada kuweni macho,usimwamini mwongo hata kama anasema ukwelu
 
mwanamke anataka maneno matamu, namaneno matamu huyapati mpaka uchanganye nauongo, ataww mbona unadanganyika2, kamawe niwa kike lazima udanganywe2 we hupendi kubembelezwa?

kwani lazima unibembeleze kwa maneno ya uongo?
Sidanganyiki.
 
hapo umenena, utakuta mtu kakomaa kabisa eti nioe, huku akiwa hafany lolote ktk kuboresha uhusiano...lol

Yeah, ni sawa kiasi but uhusiano unaboreshwa na kila mmoja wenu, sio unakuta your girl anakucare, we unachodo kila mara ni kumpiga na kumtukana, huo uhusiano hautadumu, akimpata anayemjali vya kutosha huna chako
 
Umesema kweli my dear! Haya mambo yanahitaji care ya pande zote mbili. Nipende nikupende, nilinde nikulinde and the likes!!
 
uongo ni sehemu ya mapenzi na bila uongo katika mapenzi penzi halinogi. kqmq hii kiwango cha upendo wangu kwako ni sawa na maji yoote ya bahari ya hindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…