umejuaje!! aisee ww kwa kutabili ni noma!!!\kwa mantiki hiyo wewe unapenda mtu akuanze na gia ya kukuhonga, inaelekea wewe unapenda kuhongwa na unaamini kuhongwa ndio kupendwa, dah we wa ajabu kweli i might gues we ni materialist girl if am not mistaken. Pole lol!
mnarahisishiwa hamtaki,aya bac mfungulie kampuni!!!! chali!!! tutaona visigino tu apo!\kwa mantiki hiyo wewe unapenda mtu akuanze na gia ya kukuhonga, inaelekea wewe unapenda kuhongwa na unaamini kuhongwa ndio kupendwa, dah we wa ajabu kweli i might gues we ni materialist girl if am not mistaken. Pole lol!
Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako ukasepa,kunamadhara gani katika future yako?