Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Uko sahihi, kila ninapopita wimbo huu hupigwa.kama kichwa habari kinavosema,Nyimbo ya #UTANIPENDA imeshika nafasi ya kwanza katika nyimbo zinazopendwa,zinazogongwa na kuombwa na kuchezwa kwenye vituo vya habari Tanzania.
No.1#UTANIPENDA
No.4#AIYOLA
No.5#CHEZA KWA MAIDOIDO
more info@cmeatanzania
tatizo la viazi limekua ni kilio kikubwa na jua
linawatesa wengi ila mama pima ni zaidi ya
suluhisho fika sasa soweto hotel kula bonge la
viazi matoke utayapata naamini utaipenda
pelekeni huu ujinga instagram
Mzee King Kiki Juzi wakati anahojiwa na Mboni, aliulizwa ni wanamuziki gani wankuvutia? akawataja Diamond na Barnaba Boy, alipoulizwa tena kama anamfahamu Ali Kiba, akasema...HAPANA, huyo simjui. achana na Mondi wewe.kama kichwa habari kinavosema,Nyimbo ya #UTANIPENDA imeshika nafasi ya kwanza katika nyimbo zinazopendwa,zinazogongwa na kuombwa na kuchezwa kwenye vituo vya habari Tanzania.
No.1#UTANIPENDA
No.4#AIYOLA
No.5#CHEZA KWA MAIDOIDO
more info@cmeatanzania