Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Bwana we kuna namna hizi sehemu nne zinakuwaga na vibe la namna yake,. Ofisini,. Kwenye Gari ( la kwanza mnabinua tu siti, la pili mnahamia kumalizia siti ya nyuma ) , Bafuni na Jikoni🀭🀭

IlaaaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Limshangazi ukiwa katika harakati za kugawa mautundu yako.
 
Bora ulivyowajibia hapa
Asante, hapa umewaweza maana kuna watu humu wanataka muda wote tujadili siasa za nchi na maendeleo yake.
Safi sana 🀝.

Kila mtu na hobby yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…