Samsung=Mercedes BenzMara nyingi hua madukani hatupati certified refurbished, so ni kama wewe hapo unatumia inakufa mic na betri unaenda kwa fundi anatengeneza unapiga bei, so whether ni wamekwambia ni refurbished au vipi zoye hapo ni used mkuu.
Ushauri tafuta midrange za Xiaomi kwa bei ya hio used flagship utapata simu yako mpya kali sana, Hilo note 20 likikufia kioo hutaweza kukiweka nakutahadhalisha bei itazidi uloinunulia.
mkuu used kuzipata bongo ni nadra sana, wanaonunua flagship mpya wachache hivyo mzunguko wa used zisizo na matatizo ni mdogo, pia refurbished kama mdau mwengine alivyosema juu sio certified refurbished toka kwa mhusika bali ni refurbished tu za china na dubai ambazo zina matatizo, kifupi kununua refurbished bongo ni kubeti, nunua kwa mtu ambaye anafahamika yupo responsible simu ikizingua anakubali kutatua tatizo....wakubwa naomba shule kidogo. Assume nahitaji kununua flagship phones (sina pesa ya kununua mpya) let us say Samsung Note 20, je utanishauri nichukue refub or used?
Mwenye shule poa atusaidie kuzielewa hizi products faida na hasara zake. Je performance zake mf kwa picha zina ubora gani?
Asante
Kwanza waeleze kati ya refurb na used.?...wakubwa naomba shule kidogo. Assume nahitaji kununua flagship phones (sina pesa ya kununua mpya) let us say Samsung Note 20, je utanishauri nichukue refub or used?
Mwenye shule poa atusaidie kuzielewa hizi products faida na hasara zake. Je performance zake mf kwa picha zina ubora gani?
Asante
Refub imerekebishwa shida ndogondogo...wakubwa naomba shule kidogo. Assume nahitaji kununua flagship phones (sina pesa ya kununua mpya) let us say Samsung Note 20, je utanishauri nichukue refub or used?
Mwenye shule poa atusaidie kuzielewa hizi products faida na hasara zake. Je performance zake mf kwa picha zina ubora gani?
Asante
Asante sana mkuu. BarikiwaKwa msaada wa mtandao...
Kuchagua Kati ya Refurbished na Used Phones
Kabla ya kufanya maamuzi, ni muhimu kuelewa tofauti kati ya refurbished na used phones.
1. Refurbished Phones
- Maelezo: Hizi ni simu zilizofanyiwa matengenezo na kupimwa ili kuhakikisha zinafanya kazi vizuri.
- Faida:
- Mara nyingi zinakuja na dhamana.
- Zimekaguliwa na kurekebishwa ili kuondoa matatizo yoyote.
- Ziko katika hali nzuri zaidi ikilinganishwa na used.
- Hasara:
- Zinaweza kuwa na bei kidogo juu kuliko used.
- Siku zote hazina historia kamili ya matumizi.
2. Used Phones
- Maelezo: Hizi ni simu zilizotumiwa na mtu mwingine bila matengenezo ya kitaalamu.
- Faida:
- Mara nyingi zina bei nafuu zaidi.
- Unaweza kupata simu nzuri kwa bei ya chini.
- Hasara:
- Hakuna dhamana, hivyo huwezi kujua hali halisi ya simu.
- Zinaweza kuwa na matatizo ambayo hayaonekani mara moja.
- Kuwa na historia ya matumizi ambayo inaweza kuathiri utendaji.
Utendaji wa Samsung Note 20
- Picha: Samsung Note 20 ina kamera ya 108MP (miongoni mwa kamera za nyuma) na 10MP kwa kamera ya mbele.
- Ubora wa Picha:
- Picha zinakuwa nzuri na rangi angavu.
- Ina uwezo mzuri wa kuchukua picha katika mwangaza mdogo.
- Inakuja na teknolojia kama Super Steady na Night Mode.
Hitimisho
Ni muhimu kufanya utafiti mzuri kabla ya kununua ili kuhakikisha unapata thamani bora kwa pesa zako.
- Ikiwa unatafuta utendaji bora na unataka kuwa na uhakika wa ubora, refurbished ni chaguo bora.
- Ikiwa unatafuta bei nafuu na uko tayari kuchukua hatari, unaweza kuchagua used, lakini hakikisha kuangalia hali ya simu vizuri kabla ya kununua.
unaweza kurecommend trusted dealer pse?mkuu used kuzipata bongo ni nadra sana, wanaonunua flagship mpya wachache hivyo mzunguko wa used zisizo na matatizo ni mdogo, pia refurbished kama mdau mwengine alivyosema juu sio certified refurbished toka kwa mhusika bali ni refurbished tu za china na dubai ambazo zina matatizo, kifupi kununua refurbished bongo ni kubeti, nunua kwa mtu ambaye anafahamika yupo responsible simu ikizingua anakubali kutatua tatizo.
Flafship phones tamu, ila bei sasa...inatuacha vbyMara nyingi hua madukani hatupati certified refurbished, so ni kama wewe hapo unatumia inakufa mic na betri unaenda kwa fundi anatengeneza unapiga bei, so whether ni wamekwambia ni refurbished au vipi zoye hapo ni used mkuu.
Ushauri tafuta midrange za Xiaomi kwa bei ya hio used flagship utapata simu yako mpya kali sana, Hilo note 20 likikufia kioo hutaweza kukiweka nakutahadhalisha bei itazidi uloinunulia.
Uko wapi? Kama uko majuu nunua used. Majuu majority ya wazungu ni waaminifu sana na hawezi kukubambikia bali watakueleza ukweli kama ina shida gani na unaweza kukutana na za bei rahisi sana....wakubwa naomba shule kidogo. Assume nahitaji kununua flagship phones (sina pesa ya kununua mpya) let us say Samsung Note 20, je utanishauri nichukue refub or used?
Mwenye shule poa atusaidie kuzielewa hizi products faida na hasara zake. Je performance zake mf kwa picha zina ubora gani?
Asante
Darasa huruKwa msaada wa mtandao...
Kuchagua Kati ya Refurbished na Used Phones
Kabla ya kufanya maamuzi, ni muhimu kuelewa tofauti kati ya refurbished na used phones.
1. Refurbished Phones
- Maelezo: Hizi ni simu zilizofanyiwa matengenezo na kupimwa ili kuhakikisha zinafanya kazi vizuri.
- Faida:
- Mara nyingi zinakuja na dhamana.
- Zimekaguliwa na kurekebishwa ili kuondoa matatizo yoyote.
- Ziko katika hali nzuri zaidi ikilinganishwa na used.
- Hasara:
- Zinaweza kuwa na bei kidogo juu kuliko used.
- Siku zote hazina historia kamili ya matumizi.
2. Used Phones
- Maelezo: Hizi ni simu zilizotumiwa na mtu mwingine bila matengenezo ya kitaalamu.
- Faida:
- Mara nyingi zina bei nafuu zaidi.
- Unaweza kupata simu nzuri kwa bei ya chini.
- Hasara:
- Hakuna dhamana, hivyo huwezi kujua hali halisi ya simu.
- Zinaweza kuwa na matatizo ambayo hayaonekani mara moja.
- Kuwa na historia ya matumizi ambayo inaweza kuathiri utendaji.
Utendaji wa Samsung Note 20
- Picha: Samsung Note 20 ina kamera ya 108MP (miongoni mwa kamera za nyuma) na 10MP kwa kamera ya mbele.
- Ubora wa Picha:
- Picha zinakuwa nzuri na rangi angavu.
- Ina uwezo mzuri wa kuchukua picha katika mwangaza mdogo.
- Inakuja na teknolojia kama Super Steady na Night Mode.
Hitimisho
Ni muhimu kufanya utafiti mzuri kabla ya kununua ili kuhakikisha unapata thamani bora kwa pesa zako.
- Ikiwa unatafuta utendaji bora na unataka kuwa na uhakika wa ubora, refurbished ni chaguo bora.
- Ikiwa unatafuta bei nafuu na uko tayari kuchukua hatari, unaweza kuchagua used, lakini hakikisha kuangalia hali ya simu vizuri kabla ya kununua.
wapo wengi mkuu kina zahoro matelefone hao sema still kuwa makini mno, hakikisha warranty ipo mfumo wa maandishi hawakawii kukukana.unaweza kurecommend trusted dealer pse?
Amekuambia hana helaa ya kununua mpyaa. LolNimetumia refurb za Samsung kama 3 kati ya hizo flagship ni moja.
Ushauri: Nunua simu mpya ndugu yangu