wakija wanaotaka kuolewa nitag
Utatu leta kutoka mshariki na magharibi kuja kuwaowa. Shikana vizur maana huu upepo n mkaleeUpepo wa kisuli suli!
Mi mwenyewe nmemiss! Siku nyingi hajatuburudishaMi natafuta threads za yule jamaa mwenye ma Range Rover na Lambourgin tupu, story zake zibafurahisha kwa kweli.
wewe huchoki kujitag mkuu
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
wewe huchoki kujitag mkuu
Itabidi tuu nijifiche ndani upepo upite! Sitakii kuolewa bila daliliUtatu leta kutoka mshariki na magharibi kuja kuwaowa. Shikana vizur maana huu upepo n mkalee