Utaomba nini?

Utaomba nini?

Fredinho

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2016
Posts
971
Reaction score
1,160
Umelala usiku huku ukiwaza shida na matatizo kibao yanayokuzunguka ,halafu ghafla malaika Gabrieli anakutokea na kukuambia 'ndugu shida zako zimesikiwa sasa omba mambo matatu unayopenda nikufanyie maishani' utaomba nini?
 
Anipe uwezo wa kutoa hela ATM bila kadi.

Niwe na uwezo kama wa deadpool,superman na spider kwa pamoja.

Niishi milele.

NOTE:akitokea lakini.
 
Kwanza nitaomba akili
Pili nitaomba nusijue kutenda dhambi
Tatu nitaomba awe anapita kila siku ili niwe vitu vitatu tena
 
Back
Top Bottom