Fredinho JF-Expert Member Joined May 18, 2016 Posts 971 Reaction score 1,160 Aug 8, 2016 #1 Umelala usiku huku ukiwaza shida na matatizo kibao yanayokuzunguka ,halafu ghafla malaika Gabrieli anakutokea na kukuambia 'ndugu shida zako zimesikiwa sasa omba mambo matatu unayopenda nikufanyie maishani' utaomba nini?
Umelala usiku huku ukiwaza shida na matatizo kibao yanayokuzunguka ,halafu ghafla malaika Gabrieli anakutokea na kukuambia 'ndugu shida zako zimesikiwa sasa omba mambo matatu unayopenda nikufanyie maishani' utaomba nini?
SHOOyaKIBABE JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 2,181 Reaction score 1,714 Aug 8, 2016 #2 Hekima, Hekima na Hekima
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Aug 8, 2016 #3 Anipe uwezo wa kutoa hela ATM bila kadi. Niwe na uwezo kama wa deadpool,superman na spider kwa pamoja. Niishi milele. NOTE:akitokea lakini.
Anipe uwezo wa kutoa hela ATM bila kadi. Niwe na uwezo kama wa deadpool,superman na spider kwa pamoja. Niishi milele. NOTE:akitokea lakini.
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,965 Aug 8, 2016 #4 Chezea mzee Magufuli wewe,hadi watu wamewaza visivyowezekana.
Fredinho JF-Expert Member Joined May 18, 2016 Posts 971 Reaction score 1,160 Aug 8, 2016 Thread starter #5 SHOOyaKIBABE said: Hekima, Hekima na Hekima Click to expand... Naona umeirudia kama Elimu,Elimu,Elimu.
SHOOyaKIBABE said: Hekima, Hekima na Hekima Click to expand... Naona umeirudia kama Elimu,Elimu,Elimu.
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,111 Reaction score 3,294 Aug 8, 2016 #6 thread ya BLUE MONDAY! hii kweli ni Great Thinking.
Password JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 777 Reaction score 1,083 Aug 8, 2016 #7 Kwanza nitaomba akili Pili nitaomba nusijue kutenda dhambi Tatu nitaomba awe anapita kila siku ili niwe vitu vitatu tena
Kwanza nitaomba akili Pili nitaomba nusijue kutenda dhambi Tatu nitaomba awe anapita kila siku ili niwe vitu vitatu tena