Hivi ikiwa umekopeshwa na mwajiri na hujamaliza deni huku umepata kazi sehemu nyingine ambayo umeona inakulipa zaidi utaondokaje huku inadaiwa na mwajiri huyu wa awali?
Msaada tafadhali kama Kuna mtu amewahi kukutana na jambo hili kwenye ajira.
Sijawahi kukutana nayo, ila lazima itakuwepo kwenye sera ya mikopo ya mahali husika na pia katika mkataba ambao ulitumia wakati wa kujaza kuomba mkopo huo
Sijawahi kukutana nayo, ila lazima itakuwepo kwenye sera ya mikopo ya mahali husika na pia katika mkataba ambao ulitumia wakati wa kujaza kuomba mkopo huo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.