Habari wanaforum!
Hivi ikiwa umekopeshwa na mwajiri na hujamaliza deni huku umepata kazi sehemu nyingine ambayo umeona inakulipa zaidi utaondokaje huku inadaiwa na mwajiri huyu wa awali?
Msaada tafadhali kama Kuna mtu amewahi kukutana na jambo hili kwenye ajira.