Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jun 16, 2022 #1 Hawa jamaa wamekua ni kwikwi duniani kote kwa utapeli. Nawaza pengine yawezekana utapeli kwao ukawa ni sehemu ya vinasaba kwa kitaalum DNA. Kila siku wanakua busted/ kamatwa katika nchi tofauti tofauti na kurudishwa kwao. KISA CHA MJANE WA MIAKA 54 ALIETAPELIWA USD 90,000 NA MNAIJERIA WA MKIA 20. Kuna kisa fulani Mnaijeria mmoja Jina Emmaniel aliitapeli Bank moja huko Brazil kwa kuwauzia uwanja wa Ndege wa umma ulipo Naijeria. Uandishi wangu sifuri
Hawa jamaa wamekua ni kwikwi duniani kote kwa utapeli. Nawaza pengine yawezekana utapeli kwao ukawa ni sehemu ya vinasaba kwa kitaalum DNA. Kila siku wanakua busted/ kamatwa katika nchi tofauti tofauti na kurudishwa kwao. KISA CHA MJANE WA MIAKA 54 ALIETAPELIWA USD 90,000 NA MNAIJERIA WA MKIA 20. Kuna kisa fulani Mnaijeria mmoja Jina Emmaniel aliitapeli Bank moja huko Brazil kwa kuwauzia uwanja wa Ndege wa umma ulipo Naijeria. Uandishi wangu sifuri
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Jun 16, 2022 #2 Yule dada aliesema kabakwa Znz ni miongoni mwa hawa, wengi sana wezi na matapeli
Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,540 Reaction score 30,875 Jun 16, 2022 #3 Nawewe fanya kama unaona ni rahisi
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Jun 16, 2022 Thread starter #4 mpwayungu village said: Nawewe fanya kama unaona ni rahisi Click to expand... utapeli wao ni numbers game. Tuma kwenye namba hii zinatumwa kwa watu million 1, asilimia 1% wanajaa ambao ni sawa sawa na 10,000/1, 000,000. asilimia moja ya asilimia moja wanatuma yani watu 100.
mpwayungu village said: Nawewe fanya kama unaona ni rahisi Click to expand... utapeli wao ni numbers game. Tuma kwenye namba hii zinatumwa kwa watu million 1, asilimia 1% wanajaa ambao ni sawa sawa na 10,000/1, 000,000. asilimia moja ya asilimia moja wanatuma yani watu 100.