Jamani kuna chuo kinaitwa TANZANIA AVIATION UNIVERSITY COLLEGE kipo Tabata mnakizungumziaje? Vigogo na baadhi ya binadamu wasiokuwa na huruma wanakula pesa za bure za watanzania wanaotafuta pesa kwa shida bila huruma yeyote, wanafanya utapeli tu mjini. Jamani watanzania tufunguke.
Je Tanzania kuna chuo kikuu cha anga?