UTAPELI DODOMA

UTAPELI DODOMA

ANCIENT FROM EGYPT

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
927
Reaction score
1,136
Kuna hiyo Kampuni hapo kama kwenye picha inavyoosha, Anatapeli watu kwa Kuwaaminisha kuwa inafanya biashara ya kuuza Laptop hapo mjini Dodoma.

Ukichat nae ukimuuliza kuhusiana na eneo ilipo Ofisi, anatuma Location ambayo Ofisi haipo na walishafukuzqa hapo.

Jamaa anayetapeli watu kwa kutumia hiyo Kampuni anaitwa au anatumia jina la OSCAR NEMES, msomi aliyewahi kusoma Chuo Cha UDOMA hapo.

Huko Facebook anaendelea kutapeli watu kila kukicha naomba Tuwe Makini na Huyo mtu.
IMG_5388.jpg

IMG_5387.jpg

IMG_5384.jpg
 
Wajinga ndio waliwao.......

Sio Mimi ni wahenga walisema
 
Kuna walikua wanajiita Zanzibar west, ni matapeli wa app ya kupatana
 
Jeshi la polisi na mamlaka ya mawasiliano wamemshindwa au hawajapata taarifa zake?
 
Back
Top Bottom