"Utapeli kwa njia ya mitandao" (akili yako ndiyo msaada wako dhidi ya utapeli)

Joined
May 26, 2019
Posts
7
Reaction score
3
Habari ndugu zangu watanzania, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Zanzibar,naitwa Rajabu Suleiman.

Nimekuwa nikisikitishwa namna watu ,binadamu wenzangu wanavyotokwa jasho wakitafta kipato, wantanzania wenzangu wanavyo tiririkwa na jasho lao kutafta mahitaji yao kwa nguvu zao na kwa njia zilizosahihi ,alafu atokee kijidudu mtu na kuwatapeli. Binafasi napenda Tanzania isiyo na matepeli, napenda nchi iliyo na amani na usalama wa kutosha.

THESIS YA KAMPUNI YA
"FOCUS VICOBA"
Nikija kwenye point yangu ambayo niyamsingi na muhimu kwako wewe mtanzania ni kuhusu "Focus vicoba" .

Inasemekana ni kampuni iliyo chini ya mbunge wetu "JOKETI A MWIGALO". Kwamba inahudumia mikopo kwa watanzania ,kuwasaidia vijana.

Tafadhali ninaandika hii habari kwasababu ninauhakika nayo, nimefanya utafiti wangu mdogo nimegundua yafuatayo:

1 : Hawa watu huwa wanabadirisha majina ya viongozi hata watu maarufu.
2:Hawa ni huwa wanaiba nyaraka za watu hao maarufu na kuzifanyia maboresho
3:Huwa wanataka utoe akiba kwanza ndo upewe mkopo
05:wakitumiwa akiba huwa wanabadirisha namba za simu
06:Sana laini za simu zaidi ya moja.
07:Wanadai hii kampuni IPO Africa mzima.

HITIMISHO
Napenda kuwajuza kuwa, Hawa ni matapeli, usijaribu kutuma Hera yoyote ukijua unatuma hakiba ya mikopo kwamba utapewa mkopo laaaaaah! Hapo umetapelewa !😢
Tafadhali tumia akili acha kutuma pesa katika habari za mikopo mitandaoni.
Kuomba mkopo hutakiwi kutoa pesa ,ungekuwa na pesa usingeomba mkopo.
Ndugu mtanzania nasisitiza kwa kukuhurumia wewe unavyohangaika kuitafta hiyo 25000,3000,40000...+

KWA MFANO
angalia hizi documents
IMG-20200915-WA0000.jpg

Kwa mfano hiyo kadi ya Mpiga kura hapo juu ni miongoni mwa nakala za kampuni hiyo wakidai kuwa imesajiliwa kiserikali na ni mtanzania. Na hii kadi unaweza ukahisi ni yenyewe kabisa. Lakini hiyo kadi siyo yao ni kadi ya mdada anayeitwa BEATRICE AUGUSTINO KAGALI mkazi wa mbezi. Lakini wameichukua wakaitengeneza kwa kuweka jina la JOKETI A MWIGALO.
Ukitaka kujua kama ni kweli ninayokwambia ,chukua hiyo namba ya kadi T-1005-7477-799-7 tafta "hakiki kadi ya Mpiga kura " ingiza hiyo namba.
ona hii nyingine
IMG-20200915-WA0002.jpg

Hiyo pia ni nakara ambayo imekua ikitumika kuibia watanzania.
hiyo barua ni ya kweli kabisa, lakini siyo yao. Barua hiyo inaonekana haikuwa na Picha, hiyo Picha wameiongeza wako.
kwahiyo kuweni makini

Hawataishia hapo, watakuja kutumia jina la Mohammed dewji, zitto kabwe, banks na mengine.
asante
 
Attachments

  • IMG-20200915-WA0002.jpg
    IMG-20200915-WA0002.jpg
    42.4 KB · Views: 8
  • IMG-20200915-WA0000.jpg
    IMG-20200915-WA0000.jpg
    50.4 KB · Views: 8
  • IMG-20200915-WA0001.jpg
    IMG-20200915-WA0001.jpg
    18.2 KB · Views: 9
Inasemekana ni kampuni iliyo chini ya mbunge wetu "JOKETI A MWIGALO". Kwamba inahudumia mikopo kwa watanzania ,kuwasaidia vijana.
Joketi kesha kuwa Mbunge,?
 
Habari ndugu zangu watanzania, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Zanzibar,naitwa Rajabu Suleiman.

Nimekuwa nikisikitishwa namna watu ,binadamu wenzangu wanavyotokwa jasho wakitafta kipato, wantanzania wenzangu wanavyo tiririkwa na jasho lao kutafta mahitaji yao kwa nguvu zao na kwa njia zilizosahihi ,alafu atokee kijidudu mtu na kuwatapeli. Binafasi napenda Tanzania isiyo na matepeli, napenda nchi iliyo na amani na usalama wa kutosha.

THESIS YA KAMPUNI YA
"FOCUS VICOBA"
Nikija kwenye point yangu ambayo niyamsingi na muhimu kwako wewe mtanzania ni kuhusu "Focus vicoba" .

Inasemekana ni kampuni iliyo chini ya mbunge wetu "JOKETI A MWIGALO". Kwamba inahudumia mikopo kwa watanzania ,kuwasaidia vijana.

Tafadhali ninaandika hii habari kwasababu ninauhakika nayo, nimefanya utafiti wangu mdogo nimegundua yafuatayo:

1 : Hawa watu huwa wanabadirisha majina ya viongozi hata watu maarufu.
2:Hawa ni huwa wanaiba nyaraka za watu hao maarufu na kuzifanyia maboresho
3:Huwa wanataka utoe akiba kwanza ndo upewe mkopo
05:wakitumiwa akiba huwa wanabadirisha namba za simu
06:Sana laini za simu zaidi ya moja.
07:Wanadai hii kampuni IPO Africa mzima.

HITIMISHO
Napenda kuwajuza kuwa, Hawa ni matapeli, usijaribu kutuma Hera yoyote ukijua unatuma hakiba ya mikopo kwamba utapewa mkopo laaaaaah! Hapo umetapelewa !😢
Tafadhali tumia akili acha kutuma pesa katika habari za mikopo mitandaoni.
Kuomba mkopo hutakiwi kutoa pesa ,ungekuwa na pesa usingeomba mkopo.
Ndugu mtanzania nasisitiza kwa kukuhurumia wewe unavyohangaika kuitafta hiyo 25000,3000,40000...+

KWA MFANO
angalia hizi documentsView attachment 1571466
Kwa mfano hiyo kadi ya Mpiga kura hapo juu ni miongoni mwa nakala za kampuni hiyo wakidai kuwa imesajiliwa kiserikali na ni mtanzania. Na hii kadi unaweza ukahisi ni yenyewe kabisa. Lakini hiyo kadi siyo yao ni kadi ya mdada anayeitwa BEATRICE AUGUSTINO KAGALI mkazi wa mbezi. Lakini wameichukua wakaitengeneza kwa kuweka jina la JOKETI A MWIGALO.
Ukitaka kujua kama ni kweli ninayokwambia ,chukua hiyo namba ya kadi T-1005-7477-799-7 tafta "hakiki kadi ya Mpiga kura " ingiza hiyo namba.
ona hii nyingine
View attachment 1571474
Hiyo pia ni nakara ambayo imekua ikitumika kuibia watanzania.
hiyo barua ni ya kweli kabisa, lakini siyo yao. Barua hiyo inaonekana haikuwa na Picha, hiyo Picha wameiongeza wako.
kwahiyo kuweni makini

Hawataishia hapo, watakuja kutumia jina la Mohammed dewji, zitto kabwe, banks na mengine.
asante
Ndugu yangu ''Rajabu''. Chuo kikuu hujui kuandika kiswahili fasaha? Back to the point. Huu utapeli ni wa kizamani sana lakini bado wanapata watu wengi wasiopenda kushirikisha vichwa na miili yao kutafakari.

Wewe unakopa fedha halafu anayekukopesha anakuambia tena ulipie ada kwa kumtumia! Kwa nini kama ni ada asikate hapo hapo kwenye mkopo? Watu wote wenye uelewa wanajua kuwa ukikopa fedha sehemu yoyote halali, kama kuna processing fee au fee ya aina yoyote huwa inakatwa kwenye mkopo.
 
Tanzania tunatoa wasomi mambumbumbu mno ambao wakirudi mtaani wanahitaji tena kupewa darasa la mtaa la sivyo watafeli,kwanza kitambulisho chenyewe kilichotumika cha kura kwenye jina kumefutwa then back ground ya picha siyo yani inamiti na mpgwa pichwa amejkunja kabisa kushoto means picha zote zilizotumika hapo syo halisi,vijana hakuna hela rahisi bila ya kupambana
 
Back
Top Bottom