Washirikina wa JF watakuambia subiri yakukute.No magic it's just a trick/mind games
WajeWashirikina wa JF watakuambia subiri yakukute.
Hebu nifanyie hizo tricks na mimi mkuu..No magic it's just a trick/mind games
Hebu nifanyie hizo tricks na mimi mkuu..
Waganga nuksi. Miaka ya nyuma sana, kabla utandawazi haujangia, nikiwa bado mdogo nilikwenda kumsalimia mjomba wangu. Alikuwa na mgonjwa na akaamua kumpeleka kwa mganga wa kienyeji. Mganga alianza kwa kupiga ramli, ili kujua kinachomsibu mgonjwa. Mbele yake kulikuwa na kibuyu kidogo, kina shanga nyingi, hirizi na manyoya na juu amepachika kijiti ambacho kimeingia ndani ya kibuyu. Mjomba akaambiwa akae mbele. Kibuyu kikaanza kuzungumza kwa sauti ndogo kama mtoto ''logwa, logwa, ndugu, ndugu, Tini, Tini''. Mganga akatoa tafsiri kuwa kimesema amelogwa na ndugu yake anaitwa Martin. Kibuyu kuweza kuzungumza ilikuwa ni ajabu kweli kweli. Fast foward baada ya kukua na kupata akili nikahisi mganga aliweka spika ndogo ndani ya kibuyu halafu aka-connect kwa waya chini kwa chini na kulikuwa na mtu mwengine chumba kingine alikuwa anazungumza,Utapeli unaohusisha uchawi na uganga nchini Tanzania
Mbona sioni lolote🥴
Angalia vizuriMbona sioni lolote🥴
Uwii🤣🤣🤣Waganga nuksi. Miaka ya nyuma sana, kabla utandawazi haujangia, nikiwa bado mdogo nilikwenda kumsalimia mjomba wangu. Alikuwa na mgonjwa na akaamua kumpeleka kwa mganga wa kienyeji. Mganga alianza kwa kupiga ramli, ili kujua kinachomsibu mgonjwa. Mbele yake kulikuwa na kibuyu kidogo, kina shanga nyingi, hirizi na manyoya na juu amepachika kijiti ambacho kimeingia ndani ya kibuyu. Mjomba akaambiwa akae mbele. Kibuyu kikaanza kuzungumza kwa sauti ndogo kama mtoto ''logwa, logwa, ndugu, ndugu, Tini, Tini''. Mganga akatoa tafsiri kuwa kimesema amelogwa na ndugu yake anaitwa Martin. Kibuyu kuweza kuzungumza ilikuwa ni ajabu kweli kweli. Fast foward baada ya kukua na kupata akili nikahisi mganga aliweka spika ndogo ndani ya kibuyu halafu aka-connect kwa waya chini kwa chini na kulikuwa na mtu mwengine chumba kingine alikuwa anazungumza,
Naona viduara tu nothing much 😵💫Angalia vizuri
Nimewahi mtafuta mganga wa mambo ya kazini nikamkuta work mate ndiye mpigq tunguli nikaishia kucheka nikaondoka zangu .Waganga nuksi. Miaka ya nyuma sana, kabla utandawazi haujangia, nikiwa bado mdogo nilikwenda kumsalimia mjomba wangu. Alikuwa na mgonjwa na akaamua kumpeleka kwa mganga wa kienyeji. Mganga alianza kwa kupiga ramli, ili kujua kinachomsibu mgonjwa. Mbele yake kulikuwa na kibuyu kidogo, kina shanga nyingi, hirizi na manyoya na juu amepachika kijiti ambacho kimeingia ndani ya kibuyu. Mjomba akaambiwa akae mbele. Kibuyu kikaanza kuzungumza kwa sauti ndogo kama mtoto ''logwa, logwa, ndugu, ndugu, Tini, Tini''. Mganga akatoa tafsiri kuwa kimesema amelogwa na ndugu yake anaitwa Martin. Kibuyu kuweza kuzungumza ilikuwa ni ajabu kweli kweli. Fast foward baada ya kukua na kupata akili nikahisi mganga aliweka spika ndogo ndani ya kibuyu halafu aka-connect kwa waya chini kwa chini na kulikuwa na mtu mwengine chumba kingine alikuwa anazungumza,
ndo mind games hioNaona viduara tu nothing much 😵💫
Hahahaha😂 kuna story nitaisimulia hapa kwa ruhusa ya mhusika! Nimemuona yupo hapa😎Nimewahi mtafuta mganga wa mambo ya kazini nikamkuta work mate ndiye mpigq tunguli nikaishia kucheka nikaondoka zangu .
Akaanza kunionea aibu job maana hakuna aliyejua uwa anaijonogeza pia kwenye uganga
Haya mambo yaone hivi hivi ila yanafurahisha sanaHahahaha😂 kuna story nitaisimulia hapa kwa ruhusa ya mhusika! Nimemuona yupo hapa😎