Utapeli Makanisa ya kisasa: Mamlaka ya Kutoa pepo sio ya Mchungaji/mtume/nabii ni kila muumini

Utapeli Makanisa ya kisasa: Mamlaka ya Kutoa pepo sio ya Mchungaji/mtume/nabii ni kila muumini

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.

Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.

Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko majumbani ikifika kanisani Kyle mtume afundishe neno na awakumbushe waumini mamlaka yao.

Ujinga ni miongoni mwa dalili za kuja kwa Yesu.

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Kwa Mujibu wa Yesu kutoa pepo hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu.
Tuanzie na wewe kama kutoa pepo ni kazi ndogo mno umetoa Mapepo mangapi?

Tuanzie na pepo la umaskini vipi wewe umeshalitoa kwenye maisha yako?
 
Tuanzie na wewe kama kutoa pepo ni kazi ndogo mno umetoa Mapepo mangapi?

Tuanzie na pepo la umaskini vipi wewe umeshalitoa kwenye maisha yako?
Siku nyingi sana.

Kwa Mujibu wa Yesu Kutoa pepo ni KAZI mdogo mno ambayo hadi Yuda iskari yote aliifanya kabla ya kumsaliti boss wake.

Qualification ya Kutoa pepo ni kuwa muumini sio kingozi wa kiroho.

Hii ni fact Mkuu. Umasikini sio pepo ni mindset
 
Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.

Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.

Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko majumbani ikifika kanisani Kyle mtume afundishe neno na awakumbushe waumini mamlaka yao.

Ujinga ni miongoni mwa dalili za kuja kwa Yesu.

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Wewe ni mkristo au mamluki..mana navyojua kristo alisema kwajina lakwe wafuasi wake watafanya makubwa zaidi hata aliyowahi yafanya..

Halafu usiteseke sana..mana maandiko yanasema tuache magugu na ngano vikuwe pamoja...wewe ni nani kuhukumu.

Nakushauri kaa kutulia..haya mambo ni juu ya uwezo wako mdogo wa kufikiri kuanza kuyajadili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Siku nyingi sana.

Kwa Mujibu wa Yesu Kutoa pepo ni KAZI mdogo mno ambayo hadi Yuda iskari yote aliifanya kabla ya kumsaliti boss wake .Qualification ya Kutoa pepo ni kuwa muumini sio kingozi wa kiroho.
Ukiona waumini hawataki kuyatoa Mapepo
Ungewauliza kwa nini? Jibu rahisi na wao wanayo mapepo. Pepo hawezi mtoa pepo ndio maana wanakimbia kwenda kwingine kwenda kutolewa.

Swala si tu kufundisha

Mfano makanisa mengi yamejaza mabango kuwa wagonjwa wataombewa.Yesu hakuagiza wagonjwa waombewe alisema Ponyeni wagonjwa ,toeni Pepo

Mt 10:8​

Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.

Ndio maana sasa hivi unakuta waumini wanakimbilia kwa wanaoponya wanakimbia makanisa ya porojo yaliyojaa imani potofu ya kuombea wagonjwa badala ya kuponya wagonjwa

Wewe vipi kwenu unakosali kwenye hiyo makanisa ya zamani huwa mnaombea wagonjwa au huwa mnaponya wagonjwa?
 
Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.

Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.

Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko majumbani ikifika kanisani Kyle mtume afundishe neno na awakumbushe waumini mamlaka yao.

Ujinga ni miongoni mwa dalili za kuja kwa Yesu.

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Acha wawekewe mikono kichwani mpaka waote vipara.Kila muumini fanya bidii ya kusoma kitabu cha dini yako na umwelewe vizuri Mungu wa dini yako ili usipelekeshwe.
 
Kila binadamu atakula kwa urefu wa kamba yake...
 
Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.

Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.

Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko majumbani ikifika kanisani Kyle mtume afundishe neno na awakumbushe waumini mamlaka yao.

Ujinga ni miongoni mwa dalili za kuja kwa Yesu.

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Huku kutoana pepo kupepea vitambaa kupakwa mafuta ya alizeti (yaliyochujwa) kunywa maji ya muujiza (uhai) ni wajinga tu ndio wataamini...
Wapiga kelele majukwaani kwenye nyumba za kukwepa kodi ya serikali (aka kanisa) target yao ni WANAWAKE Period!

Wanawadanganya Wanawatumia Wanawarubuni Wanawaaminisha yasiyowezekanika, wanashurutisha kuwaabudu na kuwaogopa kwa neno la
** Mtume Mtumishi wa Mungu Nabii Aliyebarikiwa Mchungaji Mwombezi nk**
Hawa ni matapeli wa kiwango kingine njia tofauti..

Wanawageuza Wanawake hawa ' chombo cha starehe, kitega uchumi, wafanyakazi wao wasiolipwa ajira (kusafisha nyumba ya mtumishi kanisa kwenda sokoni kupiga na mengine mengi ya kufanana na hayo)

Wapo wazawa na wageni wengi tu wanachuma pesa kwa kupitia migongo ya waumini hawa ambao wengi ni wajane yatima maskini na zaidi wenye uchu wa kuolewa.... Serikali haikemei kwa nini? Tuanzie hapa

Serikali iagize Wakuu wa Mikoa Wilaya kuitisha la mgambo hawa wajulikane credentials zao huduma zao mapato yao na zaidi udanganyifu na dhuluma kwa wananchi

Yes indeed ' Watu wangu Wanaangamia kwa kukosa maarifa'

Mwisho wa siku nchi itabaki nchi ya waganga wachawi wapiga ramli (aka watumishi wa...... wa mabox)

This has to stop

* mods msifute comment yangu tafadhalini*

Wengine wetu tumeshuhudia wazazi jamaa zetu wakiangamia kwa ujinga huu... so tunajaribu kupaza sauti

Wazee/Wajane wengi wanadhulumiwa na hawa watu hatari
 
Wanawadanganya Wanawatumia Wanawarubuni Wanawaaminisha yasiyowezekanika, wanashurutisha kuwaabudu na kuwaogopa kwa neno la
** Mtume Mtumishi wa Mungu Nabii Aliyebarikiwa Mchungaji Mwombezi nk**
Hawa ni matapeli wa kiwango kingine njia tofauti..
Kifupi ni kuwa watu sio wajinga ukiona wanahama kanisa linloongozwa na wasomi waliosoma theologia hadi nywele kunyonyoka vichwani na kwenda kwa mtu ambaye hata elimu hana iwe ya kawaida au ya dini ujue tatizo liko kwa hao wasomi wa theologia.

Waumini wanaokimbia hawapati kile wanachotarajia katika maisha kutoka kwao hao wenye midigrii ya theologia hadi kwenye nyayo au hiyo dini wanaona hapo kuna matapeli wa imani ndio maana wanakimbia kwenda kwingine na huwezi wazuia.

Nilipata taarifa moja kuwa mchungaji alihubiri kanisani kuwa kuna nabii pale anatumia nguvu za giza Kuwapa watu utajiri,mumuepuke itawafaa nini mkipata utajiri halafu baadaye mukose mbingu na uzima wa milele?

Ibada iliyofuata nusu ya waumini walihamia kwa yule nabii kufuata kupata utajiri.Hivyo mnavyokaza kuwapiga vita sana hao mitume na manabii ,waumini hawasikii ,wanachokitafuta kama hawawezi kipata kwenu watahama tu na huko wakienda wasipopata watahama tena safari inaendelea
 
This is my simple Religion.No need for Temples.No need for Complicated philosophy. Your own mind, your own heart is the temple. Your philosophy is simple kindness. -- DALAI LAMA
 
Back
Top Bottom